Vyakula vya vitamini A na kazi zake
VYAKULA VYA VITAMINI A
- Maziwa
- Maini
- Karoti
- Machungwa
- Mchicha
- Kabichi
- Spinach
- Kisamvu
- Matango
- Mboga za majani
Kazi za vitamini A
- Husaidia katika kuimarisha afya katika mfumo wa upumuaji
- Husaidia kulinda afya ya amcho
- Pia huboresha mfumo w fahamu
- Tatizo la kutoona vyema na upofu huweza kusababishwa na upungufu wa vitamini A mwilini.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Dua za Mitume na Manabii
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
VYAKULA VYA MADINI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Yajuwe magonjwa matano yanayo tokana na utapiamlo
Post hii inakwenda kukutajia mahonjwa matano ambayo hutokana na utapia mlo.
Soma Zaidi...Vyakula vya vitamin K
Some Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin K
Soma Zaidi...