Vyakula vya vitamini k na faida zake
VYAKULA VYA VITAMINI K
- Nyama
- Mayai
- Siagi
- Maziwa
- Mchicha
- Kabichi
- Spinachi
- Kisamvu
- Mapalachichi
- Zabibu
- Matunda mengine
- Mboga nyingine za kijani
Faida na kazi za vitamini K mwilini
- Husaidia katika kuganda kwa damu
- Husaidia katika kuboresha afya ya ubongo
- Husaidia katika kuthibiti matumuzi ya madini ya calcium mwilini
- Husaidia katika kulinda afya ya mifupa
- Husaidia katika kuimarisha afya ya moyo
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 ai web app 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 ai web app 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini
hapa Tutakwenda kuona Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini
Soma Zaidi...Vitamini C Ni nini?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana na historia ya vitamin C
Soma Zaidi...Sababu zinazoweza kusababisha kukosa choo (kinyesi)
Kukosa choo aina ya kinyesi ni kutoweza kudhibiti kinyesi, hivyo kusababisha kinyesi kuvuja bila kutarajiwa kutoka kwenye puru. Pia huitwa kutoweza kudhibiti utumbo, Upungufu wa kinyesi hutoka kwa kuvuja mara kwa mara kwa kinyesi huku ukipitisha gesi had
Soma Zaidi...Faida za kafya za kula asali
Post hii itakwenda kukufundisha faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...Vyakula vyenye madini kwa wingi
Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya vyakula vyenye madini kwa wingi
Soma Zaidi...