VYAKULA VYA VITAMINI B
- Nyama
- Mapalachichi
- Mboga za majani
- Mimea jamii ya karanga
- Alizeti
- Mayai
- Pilipili
- Ndizi
- Viazi
- Maharagwe na kunde
- Nafaka kama mchele, mtama na mahindi
Kazi za vitamini B
- Husaidia mfumo wa fahamu kufanya kazi vyema
- Huhitajika kwa ajili ya uzalishaji wa nishati (nguvu) mwilini
- Husaidia katika utengenezwaji wa seli mwilini
- Husauidia katika utengenezwaji wa hemoglobin hizi ni chembechembe katika seli nyekundu za damu
- Husaidia katika kuchakata DNA
- Husaidia katika utengenezwaji wa seli mpya na kukomaa kwa seli