VYAKULA VYA VITAMINI E
- Karanga
- Palachichi
- Maziwa
- Samaki
- Siagi
- Viazi mbatata
- Mchele
- Siagi
- Korosho
- Spinachi
- Alizeti
- Mayai
- Maini
- Nyama
Kazi za vitamini E
- Husaidia kuondosha sumu za kemikali na vyakula mwilin
- Husaidia katika utengenezwaji wa utando wa seli mwilini
- Husaidia katika utengenezwaji wa utando maeneo mbalimbali ya mwili kama neva
- Husaidia katika ukuaji mzuri wa mifupa