picha

Vyakula vyenye maji mengi kwa wingi

Vyakula vyenye maji mengi kwa wingi

VYAKULA VYENYE MAJI KWA WINGI

  1. Tikiti
  2. Tango
  3. Nanasi
  4. Machungwa
  5. Madanzi
  6. Mapensheni
  7. Miwa
  8. Mapapai
  9. Mastafeli
  10. Matunda damu
  11. Komamanga

 

 

Faida za maji mwilini

  1. Kulainisha viungo
  2. Husaidia katika utengenezwaji wa mate na makamasi
  3. Husaidia katika usafirishwaji wa oksijeni mwilini
  4. Huboresha afya ya ngozi
  5. Huboresha afya ya ubongo, ugwe mgongo na milango ya fahamu
  6. Husaidia katika kupunguza joto
  7. Mfumo wa mmengenyo wa chakula unategemea maji
  8. Husaidia katika kuondosha ushafu ndani ya mwili
  9. Hutdhibiti shinikizo la damu
  10. Huzuia uharibifu wa figo
  11. Husaidia katika kupunguza uzito

 



                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views 3454

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Simulizi za Hadithi Audio     👉4 ai web app     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 web hosting    

Post zinazofanana:

Vyakula vilivyo hatari kwa afya ya meno

Vyakula hivi vinaweza kuwa na hatai kwenye afya ya meno ama kuharibu kabisa meno.

Soma Zaidi...
Faida za kula papai

Posti hii inaonyesha Faida za kula papai.papai Ni tunda na Lina leta afya,nguvu na kuujenga mwili.

Soma Zaidi...
Fahamu kuhusu maji, kazizake mwilini na athari za upungufu wake mwilini

Hpa utafahamu faida za maji mwilini pamoja na athari za upungufu wa maji mwilini na dalili zake

Soma Zaidi...
Zijuwe faida za kula njegere

zijuwe faida za kula njegere kiafya na umuhimu wa kula jegere pia jifunze njegere zina kazi gani mwilini?

Soma Zaidi...