Vyakula vya wanga na faida zake
VYAKULA VYA WANGA
- Mahindi
- Mtama
- Mihogo
- Viazi
- Ngano
- Mikate
- Mtama
- Mchele
- Keki
- Krosho
- Karanga
- Ndizi
- Nyama
- Mayai
- Maziwa
Kazi za wanga
- Kazi kuu ya wanga ni kutupatia nguvu yaani nishati
- Husaidia katika kuvunjavunja fati mwilini
- Hupunguza matumizi ya protini kwa ajili ya kuzalisha nishati
- Hutumika katika kutengenezea bidhaa na madawa
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 ai web app 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 kitabu cha Simulizi
👉1 ai web app 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Vyakula anavyopaswa kutumia mwenye matatizo ya uti wa mgongo
Posti hii inahusu zaidi vyakula anavyopaswa kutumia mwenye matatizo ya uti wa mgongo, ni vyakula ambavyo upunguza makali kwenye uti wa Mgongo.
Soma Zaidi...Faida za kiafya za kula nyama
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyama
Soma Zaidi...