Vyakula vya vitamini C na faida zake
VYAKULA VYA VITAMINI C
- Nyanya
- Mapera
- Pilipili
- Papai
- Tufaha (apple)
- Karoti
- Kitunguu
- Palachichi
- Embe
- Kabichi
- Pensheni
- Zabibu
- Nanasi
- Limao
- Chungwa
- Papai
Faida za vitamini C
- Husaidia katika utengenezwaji wa tishu mwilini
- Husaidia katika uponaji wa vidonda
- Ni antioxidant ambayo husaidi katika kuondosha sumu za vyakula mwilini
- Husaidia katika kuboresha mfumo wa kinga mwilini
- Hulinda mwili dhidi ya maradhi ya kiseyeye
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 kitabu cha Simulizi
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Faida za kiafya za kula mihogo
Some Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mihogo
Soma Zaidi...Vyakula vyenye vitamini C kwa wingi
Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya vyakula vyenye vitamini C kwa wingi
Soma Zaidi...Faida kuu 10 za kula matunda na mboga mwilini - kwa nini ni muhumu kula matunda?
Makala hii inakwenda kukutajia sababau kuu 10 ambazo zinaonyesha umuhimu wa kula matunda kiafya. kwa nini kiafya unashauriwa ule matunda na mboga mara kwa mara?
Soma Zaidi...daarasa la afya
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...