picha

Vyakula vya vitamini D na faida zake

Vyakula vya vitamini D na faida zake

VYAKULA VYA VITAMINI D

  1. Chanzo kikuu cha vitamini D ni mwanga wa jua, vyanzo vingine katika vyakula nu:-
  2. Mayai
  3. Maziwa
  4. Maini
  5. Uyoga

 

Faida za vitamini D

  1. Kusaidia unyonzwaji wa madini kutoka kwenye chakula kwenda kwenye damu
  2. Hudaidia kuboresha afya ya mifupa
  3. Mifupa kuwa imara, madhubuti na isiyopasuka kiurahisi
  4. Hudaidia kwa afya ya moyo na mishipa ya damu
  5. Pia husaidia kupunguza uwezekano wa kupata saratani


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views 4934

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Bongolite - Game zone - Play free game     👉4 Dua za Mitume na Manabii     👉5 Madrasa kiganjani     👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    

Post zinazofanana:

Fahamu Fati na kazi zake, vyakula vya fati na athari za upungufu wake

Makala hii inakwenda kukueleza kuhusu fati, vyakula vya fati, kazi zake na athari za upungufu wake

Soma Zaidi...
Faida za kula tango

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango

Soma Zaidi...
Vyakula gani ambavyo sitakiwi kula kama nina pressure ya kupanda

Post hii itakufundisha kwa ufupi vyakula vya kuviepuka kama una presha ya kupanda.

Soma Zaidi...
Fahamu Vitamini E na nz kazi zake, vyakula vya vitamini E na athari za upungufu wake

Katika makala hii nitakwenda kukupa somo linalohusu vitamini E, kazi zake, chanzo chake na madhara ya upungufu wake

Soma Zaidi...
KITABU CHA MATUNDA

Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho

Soma Zaidi...