Wafundisheni kuswali watoto wenu

Mtume amemfundisha kuwa watoto wafundishwe kuswali wakiwa na miaka saba na waadhibiwe wakiacha wakiwa na miaka 10

Watoto hao unaowaona hapo kwenye picha wanacheza mchezo mzuri. Unaona hapo kuna imamu akiwaswalisha wenziwe. 

 

Utaona pia kina mtoto wa kike mmoja kwenye kundi hilo akiwa kwenye safu yake. Na hasa huu ndio utaratibu wa jamaa iliyo na mchanganyiko wa wanawake na wanaume. 

 

Allah awape malezi bora watoto hawa Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/12/28/Wednesday - 11:47:11 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 725


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-