WAKATI WA KUFUMBUKA SEHEMU YA 2
Post hii ni mwendelezo wa hadithi ambayo Kwa jina inaitwa wakati wa Kufumbuka, ni mwendelezo wa pale maria anawekwa mbele ya wazee Ili akili kwamba John sio mtoto wa Mzee maganga ila maria akikumbuka wazi kwamba John ni mtoto wa Mzee maganga anakataa kuki
WAKATI WA KUFUMBUKA.
palikuwemo na mti mmoja uliyoitwa kwa jina la bwamahelu, mti huo ulikuwa mkubwa sana na ulisadikika kuwa Kuna mizimu ambayo usema ukweli hasa kwa mtu ambaye ni mwongo, na walikuwa na desturi kwamba wanaacha kula siku nzima na chakula kile wanakiwekea mizimu na wakikuta kimeliwa ni dalili wazi kwamba jambo walilokuwa wanahofia ni kweli ikiwa chakula kikikutwa ni kwamba jambo hilo sio la kweli,ila chakula hicho kililiwa na wazee hao endapo kama hawapendi mwenye tatizo ila kama wanampenda chakula walikikuta na kwa sababu kati ya watoto wa Mzee maganga Kuna mtoto alikuwa Bado anajifunza namna ya kuwahudumia mizimu kwa hiyo alijua kila kitu kilichokuwa kinaendelea na aliwajuza ndugu zake kinachoendelea.
Basi chakula kilipikwa vizuri na watu wote hawakuruhusiwa kula chochote wakiwa kwenye maandalizi ya kujua ukweli kuhusu mtoto John, basi na yule mtoto wa kiume aliyekuwa anajifunza namna ya kuwahudumia mizimu aliwaalika ndugu zake wawe makini Ili chakula kisiliwe wakiwa na na Nia za kumwokoa ndugu yao na pia kumwokoa mama yao, basi wale wazee walipoona kuwa nyama ni nzuri na zinavutia kwa macho wakazitamani Sana na kujiandaa kwa ajili ya kula, basi zilipowekwa wakaamua mtoto wa Mzee maganga aliyekuwa anajifunza kuhudumia mizimu atolewe wakdai kwamba ni kesi ya mama yake . Kwa sababu wazee walikuwa na nguo maalumu na sehemu hiyo illkuwa na giza Kuna mtoto mwingine wa Mzee maganga alivaa nguo za wazee bila kuonekana akaingia ndani ya mti penye chakula , wazee walipoonza kula na watu wapo huko nje wakidhani kwamba wazee wapo wanaongea na miungu kumbe wapo wanakula chakula.
Baada ya mda mrefu wazee walitoka na kwenda nje kwa mda wakidai kwamba miungu bado inakula na watu wakaendelea kusali, baada ya mda wale wazee warirudi kwenye pango na wakamwambia watu kwamba ni kweli John sio mtoto wa Mzee maganga na ndugu wakashangilia kwa sauti kubwa wakidai kwamba Mali alizonazo John anyanganywe,
Itaendelea
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 ai web app 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
NIMLAUMU NANI (sehemu ya sita)
Post inahusu zaidi hadithi ya NIMLAUMU NANI ambayo ni sehemu ya sita, katika kipengele hiki tunaenda kumwona msichana Amina anapambana na hatimaye anafunga ndoa ya kiserikali na Frank
Soma Zaidi...Hadithi hii inahusu hasara za wivu na kutokuwa wazi
Posti hii inahusu zaidi hasara za wivu, kwa sababu ya kuwepo kwa marafiki wasio waaminifu wanasababisha kuharibiana maisha bila kujua kwa sababu ya kuonekana wivu na kutokuwa wazi.
Soma Zaidi...USALITI (sehemu ya kwanza)
Post hii inahusu zaidi vijana wawili ambao ni msichana na mvulana walioingia kwenye mahusiano wakiwa sekondari na wakahaidiana kuoana ila kwa sababu mbalimbali walizokutana nazo kwenye safari yao ya mahusiano mmoja akamsaliti mwingine na kusababisha kupo
Soma Zaidi...NIMLAUM NANI? (Sehemu ya pili)
Post hii ni mwendelezo wa hadithi iliyopita ambapo Frank aliwakuta Amina ambaye ni mpenzi wake ameumbatiana na James ambaye ni rafiki yake ,kwa hiyo tuendelee kusikia yaliyotokea baada ya Amina na James kukutwa na Franki.
Soma Zaidi...Mtoto wa tajiri na maskini (sehemu ya pili)
Post hii inahusu zaidi watoto wa wawili ambapo mmoja ni mtoto wa tajiri na mwingine ni mtoto wa maskini.
Soma Zaidi...Hadithi ya Mama mchoyo na mwehu
Posti hii inahusu zaidi habari za Mama mmoja aliyekuwa mchoyo akampa mkate mwehu na kuutia Sumu ila kwa sababu mwehu alikuwa mkarimu sana aliutunza mkate na kuwapatia watoto wa yule mama waliokuwa wakitoka shule na njaa kali
Soma Zaidi...