Walio hatarini kupata gonorrhea (gonoria)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu watu walio hatarini kupata gonorrhea gonoria
Waliohatarini kupata gonorrhea (gonoria)
Watu wa umri wowote wanaweza kupata ugonjwa huu. Hata hivyo kuna ambao wapo hatarini zaidi. Kwa wanawake walio zaidi ya miaka 25 wapo hatarini zaidi. Na wanaume ambao wanashiriki ngono ya mkundu wapo hatarini zaidi. Pia wafuatao wanaweza kuwa hatarini kupata gonorrhea:-
1.Kuanza mahusiano na mpenzi mpya
2.Kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja (michepuko)
3.Kuwa na penzi ambayo ana wapenzi wengine (michepuko zaidi)
4.Kuwa na maambukizi ya goniria hapo nyuma ama kuwa na maambukizi mengine ya magonjwa ya ngono.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Maradhi ya macho, dalili zake na matibabu yake
Makala hii itakufundisha maradho makuu ya macho, matibabu yake na tiba zake
Soma Zaidi...Baadhi ya maradhi yanayosababishwa na hali za maisha
Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya maradhi yanayosababishwa na hali za maisha
Soma Zaidi...Kujifungua kwa operesheni (Cesarean Section): Unachotakiwa kujua.
Kujifungua kwa operesheni, maarufu kama Cesarean Section (C-Section), ni utaratibu wa upasuaji unaofanywa ili kumtoa mtoto tumboni kupitia mkato katika tumbo na mji wa mimba wa mama. Ingawa wengi hupendelea uzazi wa kawaida, upasuaji huu ni njia salama na wakati mwingine ya kuokoa maisha ya mama na mtoto pale matatizo ya kiafya yanapojitokeza wakati wa ujauzito au leba. Makala hii inaangazia sababu, utaratibu, na hatua za kupona baada ya operesheni.
Soma Zaidi...Dalili za fangasi wa kucha.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili,sababu za Hatari,na namna ya kujizuia na fangasi wa kucha.
Soma Zaidi...Kupunguzwa kwa kiwosi cha lehemu (Cholesterol) mwilini.
Lehemu (cholesterol) ni kiambato muhimu katika mwili wa binadamu, lakini kiwango chake kinapozidi kiasi kinachohitajika, huwa hatari kubwa kwa mfumo wa moyo na mishipa ya damu. Makala hii inatoa uchambuzi wa kitaalamu kuhusu taratibu za kupunguza lehemu mbaya (LDL), umuhimu wa uwiano wa lehemu nzuri (HDL), na mikakati ya kisayansi ya kudhibiti lehemu kupitia lishe, mazoezi, na dawa.
Soma Zaidi...