Walio katika hatari ya kupata homa ya inni

Posti hii inahusu zaidi watu walio katika hatari ya kupata homa ya ini,kwa sababu ya hali zao mbalimbali wanaweza kupata ugonjwa huu.

Walio katika hatari ya kupata tatizo la homa ya inni.

1. Watoto wachanga waliozaliwa na akina mama wenye tatizo la homa ya ini kwa sababu ya kugusana kupitia maji maji na katika kugusana mtoto anaweza kupata wakati wa kuzaliwa.

 

 

 

2. Wanaofanya biashara ya ngono.

Kwa sababu wafanya biashara ya ngono ujamiiana na watu mbalimbali hali inayosababisha kujamiiana na mtu mwenye tatizo la homa ya ini naye akapata kwa hiyo ni vizuri kuwa makini kwa hilo.

 

 

 

 

3. Wanaume wanaofanya au wanaojamiiana kwa wanaume kwa sababu katika kugusana kama mmoja ana michubuko ni rahisi kupata ugonjwa wa homa ya ini.

 

 

 

4. Watumiaji wa madawa ya kulevya.

Kwa sababu kuna kipindi ambapo watumiaji wa madawa ya kulevya utumia sindano moja kujichoma kwa mtu zaidi ya mmoja.

 

 

 

 

5. Wafanyakazi wa sekta ya afya.

Kwa kawaida wabadili sana na wagonjwa mbalimbali kwa hiyo ni rahisi kuhudumia mgonjwa wa homa ya nini bila kupata na akapata pia.

 

 

 

 

6. Ndugu wanaoishi na mgonjwa aliyeathiriwa na ugonjwa wa homa ya inni.

Kwa kawaida katika familia mmoja akiugua wote tunamhudumia kwa vyovyote vile na kuwasiliana naye vizuri katika hali ya kutojua ugonjwa unaweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na hata familia nzima.

 

 

 

 

7. Wagonjwa wa figo wako kwenye hatari ya kupata tatizo la homa ya inii.

Kwa sababu ya hali halisi ya ugonjwa wao ni hatari zaidi kupata homa ya ini.

 

 

 

 

8. Mtu anayefanya mapenzi na mtu mwingine mwenye tatizo hili na yeye yupo katika hatari ya kupata tatizo la homa ya ini kwa hiyo ni vizuri kujua hali ya mtu kabla ya kufanya ngono.

 

 

 

9. Kwa hiyo ni vizuri kabisa kuhakikisha kwamba chanjo ya homa ya ini inatolewa kwa watu na pia na elimu itolewe ili watu waweze kujua namna homa hiyo inavyoambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine 



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/15/Friday - 09:30:02 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 626


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-