WANAOWAJIBIKA KUHIJJI


image


Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)


  • Wanaowajibika kuhiji.

-    Waislamu wenye sifa zifuatazo wanalazimika kuhiji;

  1. Waliobaleghe – Watoto wadogo hawawajibiki kuhiji hata kama wana uwezo, 

                    hata hivyo wanaruhusiwa chini ya uangalizi wa wazazi wao.                

  1. Wenye Akili timamu –  Asiye na akili timamu hawajibikiwi kwa ibada yeyote

                        ile katika Uislamu.

 

  1. Waungwana –  Wafungwa au watumwa hawawajibiki kwa Hijja mkapa

                  watakapokuwa huru.

 

  1. Wenye uwezo – Waislamu wote wenye uwezo kimali na afya njema ni wajibu 

                      kutekeleza ibada ya Hijjah.

 

  1. Wasio katika kizuizi – Waliowekewa kizuizi au kuzuiliwa kwa sababu za

                        kiusalama sio wajibu kwao kuhiji muda huo.

 

  1.    Wanawake waongozane na maharimu wao. 
    • Mwanamke mwenye uwezo atawajibika kuhiji iwapo ataongozana na

      maharimu wake.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    2 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Maana ya shahada
Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kutoa vilivyo vizuri
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Maana ya sadaqat
Nguzo za imani, maana ya sadaqat (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Hijjah
Nguzo za uislamu (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kina Cha uovu wa shirk
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Maana ya kusimamisha uislamu katika dini
Dini anayostahiki kufuata mwanadamu (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Zoezi la 5
Maswali mbalimbali kuhusu fiqih Soma Zaidi...

image Dhana ya ibada kwa mtazamo wa uislamu..
Mtazamo wa uislamu juu ya ibada (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Wanaostahiki kupewa zakat
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Saratul-asr 103
Quran (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...