WATU AMBAO HAWAPASWI KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO


image


Post hii inahusu zaidi watu ambao hawapaswi kutumia njia za uzazi wa mpango, Ni watu ambao Wana matatizo mbalimbali endapo wakitumia wanaoweza kuleta madhara mbalimbali.


Watu ambao hawapaswi kutumia njia za uzazi wa mpango

_ wanawake wanaonyonyesha chini ya miezi sita

_ wanawake wenye ugonjwa wa Kansa

_wanawake wanaovuja damu mwenye sehemu zao za Siri.

_wanawake wanaovuja sana sigara, hasa wale wanaovuta sigara ishilini kwa siku Moja

_wanawake waliofanyiwa upasuaji mkubwa

_wanawake wenye ugonjwa wa njano

Pamoja nakuwepo kwa magonjwa mbalimbali, ikiwa yake yanayoweza kuaribika, mama anapaswa kutibiwa na kurudia hali yakawaida

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    2 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Namna ya kuangalia Maambukizi kwenye mifupa.
Posti hii inahusu zaidi njia zinazotumika ili kuangalia Maambukizi kwenye mifupa. Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa kisukari
Ugonjwa wa kisukari hurejelea kundi la magonjwa yanayoathiri jinsi mwili wako unavyotumia sukari kwenye damu (glucose). Glucose ni muhimu kwa afya yako kwa sababu ni chanzo muhimu cha nishati kwa seli zinazounda misuli na tishu zako. Pia ndio chanzo kikuu cha mafuta kwenye ubongo wako. Ikiwa una Kisukari, haijalishi ni aina gani, inamaanisha kuwa una sukari nyingi kwenye damu yako, ingawa sababu zinaweza kutofautiana. Glucose nyingi inaweza kusababisha matatizo Soma Zaidi...

image Utaratibu wa lishe kwa wajawazito na wanaonyonyeaha
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wajawazito na wanaonyonyesha Soma Zaidi...

image Namna ya kutoa huduma ya kwanza
Huduma ya kwanza ni huduma anayopewa mgonjwa au mtu yeyote aliyepata ajali kabla ya kumpeleka hospitalini Soma Zaidi...

image Madhara ya gonorrhea endapo haitotibiwa
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya gonorrhea endapo haitotibiwa Soma Zaidi...

image Dalili za selulitis.
Selulitis ni maambukizi ya ngozi ya bakteria ya kawaida, ambayo yanaweza kuwa mbaya. Cellulitis inaonekana kama sehemu nyekundu ya ngozi iliyovimba na inahisi joto na laini. Inaweza kuenea kwa kasi kwa sehemu nyingine za mwili. Cellulitis haienei kutoka kwa mtu hadi mtu. Soma Zaidi...

image Njia za kuzuia kiungulia
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuzuia kiungulia Soma Zaidi...

image Dalili za upotevu wa kusikia
posti hii inazungumzia kuhusiana na Upotevu wa kusikia unaotokea hatua kwa hatua kadri umri unavyozeeka (presbycusis) ni jambo la kawaida. T Kwa wale walio na umri wa zaidi ya miaka 75, idadi ya watu walio na  upotezaji wa kusikia inakaribia 1 kati ya 2. Soma Zaidi...

image DAWA YA FANGASI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za fangasi Soma Zaidi...

image Dalili za Pua iliyovunjika
posti hii inahusu dalili za Pua iliyovunjika, pia inaitwa fracture ya pua, ni kuvunjika au kupasuka kwa mfupa katika pua yako Soma Zaidi...