Posti hii inahusu zaidi magonjwa nyemelezi kwa watoto wadogo chini ya miaka mitano,. Ni magonjwa yanayowapata watoto wadogo kwa sababu kinga Yao bado ni ndogo.
Magonjwa nyemelezi kwa watoto chini ya miaka mitano.
Malaria
_ ni ugonjwa unaoshambulia sana watoto wadogo na kuwaweka katika mazingira ya hatari katika makuzi ya mtoto,
2.Neumonia
_ Ni ugonjwa unaoshambulia mfumo wa upumuaji na kusababisha matatizo mengi sana kwa watoto
3. Anemia
_ Ni ugonjwa unaosababisha upungufu wa damu kwa watoto
4. Kuharisha
Ni ugonjwa unaoshambulia sana watoto wadogo chini ya umri wa miaka mitano na kumaliza maji mwilini
5. Degedege ni ugonjwa hatari ambao ushambulia watoto na pengine kuwaachia ulemavu wa kudumu.
Magonjwa haya yapo kwenye mazingira yetu na yanatibika, tuwapeleke watoto wetu hospitalini Ili watibiwe na dawa zipo
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
hapa Tutakwenda kuona Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vitamini C mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni/ Olive
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tikiti
Soma Zaidi...