Yajue madhara ya kutoa mimba mara Kwa mara

Yajue madhara ya kutoa mimba mara Kwa mara

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa wale wenye tabia ya kutoa mimba mara Kwa mara .

Madhara ya kutoa mimba mara Kwa mara.

1. Kujifungua mtoto kabla ya mda wake.

 Kuna kipindi akina dada wanatoa sana mimba wakati wa ujana wao Kuna mwingine anakwambia kwamba kwa mwaka anatoa mimba kama tano hivi na huyu anayefanya hivyo anategemea kupata mtoto baadae eti mda ukifika, akina dada wa hivi wakifikia ule wakati wa kuhitaji watoto mara nyingi mimba utishia kutoka kwa sababu kizazi kimekwisha zoea kwamba hakiwezi kutunza mtoto kwa miezi tisa kwa hiyo ukifika mda ule ambapo Mama utoa mimba na mimba ujiandaa kutoka kwa kuonyesha dalili zote za kutoka kwa mimba na hatimaye mtoto uzaliwa bila kufika mda wake.

 

 

2. Kulegea kwa mlango wa kizazi.

Kwa kawaida kutoa mimba mara Kwa mara usababisha kulegea kwa mlango wa kizazi kwa sababu kila mara kizazi kinachokonolewa uenda kwa vyuma au kwa njia yoyote ile hali ambayo usababisha kizazi kulegea. Na kwa hali hiyo usababisha kizazi  chenyewe kushindwa kuhifadhi mtoto pale mama anapohitaji mtoto wa kuzaa kabisa.

 

3. Kuwepo kwa Saratani ya matiti.

Kwa kawaida mimba ikitungwa kila kitu mwilini ubadilika na kuwa tayari kwa ajili ya kutunza mtoto au kichanga kilichomo tumboni. Kwa hiyo na homoni mbalimbali kwenye matiti kuwepo kwa sababu ya kujiandaa kwa ajili ya kunyongenyesha mtoto atakayezaliwa kwa hiyo kutoa mimba mara Kwa mara usababisha Kansas kwenye matiti kwa sababu ya kuwepo kwa hali ya kuzalishwa homoni za mara Kwa mara.

 

4. Pengine kupata magonjwa ya akili.

Kwa sababu Kuna hali Ile ya baada ya kutoa  mimba nyingi na kuharibu sehemu mbalimbali za via vya uzazi na baadae wakati wa kuhitaji mtoto Kunafika na mama anaishindwa kupata mtoto baada ya kujua ukweli anaanza kufikilia mambo mengi na kusababisha hali ya kuchanganyikiwa hasa pale anapopatwa na masimango kutoka sehemu mbalimbali au kwa wale walioshuhudia mambo yake na pia pale anapofikilia jinsi alivyotoa mimba nyingi au pengine Kuna mimba aliitoa na mtoto akalia na mambo kama hayo umfanya mtu kufikilia mambo mengi na hatimaye kupata magonjwa ya akili.

 

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 5285

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Dua za Mitume na Manabii     👉3 Bongolite - Game zone - Play free game     👉4 Madrasa kiganjani     👉5 ai web app     👉6 web hosting    

Post zinazofanana:

Kiungulia kwa wajawazito, dawa yake na njia za kukabilianannacho

Wajawazito wamekuwa wakisumbuliwa sana na kiungulia, makala hii itakujulisha njia za kukabiliana na kiungulia, dalili zake na dawa zake

Soma Zaidi...
Huduma kwa wanaopata hedhi zaidi ya mara moja kwa mwezi

Posti hii inahusu zaidi huduma kwa wanaoingia kwenye siku zao zaidi ya mara moja kwa mwezi.

Soma Zaidi...
Dalili za upungufu wa homoni ya progesterone

Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zinaweza kutokea iwapo Kuna upungufu wa homoni ya progesterone.

Soma Zaidi...
Madhara ya kutumia vidonge kwa akina dada vya uzazi wa mpango

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa akina dada.

Soma Zaidi...
Dalili za Ujauzito mchanga Siku Saba Baada ya Ovulation

Unaweza kujiuliza ikiwa inawezekana kupata dalili za ujauzito mchanga kama siku 7 baada ya kudondoshwa kwa yai (DPO yaani Days Past Ovulation).

Soma Zaidi...
Njia za kutibu mbegu dhaifu.

Posti hii inahusu zaidi njia za kutibu mbegu dhaifu, ni njia ambazo utumika kutibu mbegu ambazo ni dhaifu ili kuweza kuondoa tatizo hili ambalo limewakumba wanaume wengi na kusababisha madhara makubwa kwenye ndoa au familia.

Soma Zaidi...