Yajue magonjwa ya jicho

Yajue magonjwa ya jicho

Posti hii inahusu zaidi Magonjwa ya jicho,ni Magonjwa ambayo ushambulia sehemu mbalimbali za jicho kwa mfano kwenye retina,kuaribu mishipa ya retina ,macho kuwa makavu na pia mtoto wa jicho, hali hii ya magonjwa ya macho Usababisha madhara mbalimbali kama

Magonjwa ya jicho.

1. Kuharibka kwa retina .

Kuaribika kwa retina kwa kitaalamu huitwa macula, tunajua wazi kwamba retina ndiyo sehemu muhimu ambayo Usababisha kusafilisha mwanga mpaka kwenye ubongo ili mtu aweze kutambua na kuona kwa hiyo retina ikiaribika tunaweza kupata upofu kwa hiyo ni vizuri kabisa kuhakikisha kuwa tunatumia macho yetu vizuri ili kuweza kuepuka madhara mbalimbali.

 

2. Kuaribika kwa mfumo wa kupeleka picha kwenye ubongo ambayo kwa kitaalamu huitwa Glaucoma

Kuna wakati mwingine kuna wakati mfumo wa kupeleka picha kwenye ubongo uharibika, tunajua wazi kuwa ili mtu aweze kupona anapaswa kuwa na sehemu hii na iwe nzima pakitokea shida yoyote kuona kunakuwa kwa shida na matibabu yasipotolewa tunaweza kupata upofu.

 

3. Kuaribika kwa mishipa ya retina.

Kuna wakati mwingine mishipa ya retina uharibika na kushindwa kufanya kazi vizuri kwa hiyo mtu mwenye tatizo hili uona kwa shida hasa hasa matatizo haya uwapata watu wenye ugonjwa wa kisukari kwa hiyo wanaweza kutumia miuani na maisha yanaenda kawaida.

 

4. Macho kuwa makavu.

Kwa wakati mwingine macho yanakuwa makavu kwa sababu sehemu inayozalisha maji maji huwa na matatizo kwa hiyo macho utoa Matongo tongo hali hii ikitokea inaweza kupona kwa hiyo ni vizuri kuwahi hospitalini.

 

5. Mtoto wa jicho kushambuliwa.

Tunajua kuwa kwenye jicho huwa kuna mtoto wa jicho ambaye anaweza kufanya kazi mbalimbali kwenye kuona kwa hiyo huyu alishambuliwa uleta madhara ya jicho kuona vizuri.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 2029

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 ai web app     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 web hosting     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zinazofanana:

Matatizo ya moyo kupanuka: Dalili na matibabu.

​Moyo kupanuka, kitaalamu Cardiomegaly, si ugonjwa wenyewe bali ni ishara ya tatizo lingine la msingi la kiafya linaloufanya moyo kufanya kazi kwa bidii zaidi. Makala hii inachambua kwa kina sababu za hali hii, dalili zake za awali, na mbinu za kisasa za matibabu. Kwa kuelewa mfumo wa moyo na hatari za shinikizo la damu, unaweza kuchukua hatua za mapema kuzuia madhara makubwa kama moyo kushindwa kufanya kazi (heart failure).

Soma Zaidi...
Maumivu ya shingo na mabega kutokana na kazi za ofisini.

Msongo wa mawazo (stress) ni hali ya kawaida ya kisaikolojia na kimwili inayotokana na shinikizo la maisha. Ingawa kiasi kidogo cha msongo kinaweza kuchochea ubunifu na utendaji, msongo wa muda mrefu ni hatari kwa afya ya mwili na akili. Makala haya yanachunguza kwa kina dalili za msongo wa mawazo—kuanzia mabadiliko ya kihisia, kimwili, hadi kitabia—pamoja na mikakati ya kitaalamu ya kuyatambua na kuyadhibiti mapema ili kuzuia madhara ya kudumu.

Soma Zaidi...
Dalili za kifua kikuu (tuberculosis)

Kifua kikuu ni ugonjwa sugu wa kuambukiza na anuwai ya magonjwa ya kiafya yanayosababishwa na Mycobacterium tuberculosis complex. Kwa binadamu sababu ya kawaida ni Mycobacterium tuberculosis.

Soma Zaidi...
Je minyoo inaweza kusababisha mmeng'enyo wa chakula kuwa dhaifu?

Mfumo wa chakula unaweza kuwa dhaifu kwa sababu nyingi ikiwepo vyakula vyenyewe, vinywaji ama maradhi. Vipi kuhusu minyoo? Endelea na makala hii utajifunza zaidi.

Soma Zaidi...
Homa ya manjano, dalili za homa ya manjano na namna ya kujikinga na homa ya manjano

HOMA YA MANJANO (yellow fever)Homa ya manjano ni maradhi yanayosababishwa na virusi na husambazwa na mbu.

Soma Zaidi...
Dalili za PID kwa wanawake

Kipindi cha baada ya yai kuachiliwa (ovulation) hadi kufikia tarehe ya hedhi inayofuata hujulikana kama Luteal Phase. Hapa ndipo wanawake wengi wanaotafuta ujauzito huanza kuchunguza mabadiliko ya miili yao. Makala haya yanajadili dalili za mapema za mimba zinazoweza kujitokeza siku chache baada ya ufertilishaji, jinsi ya kutofautisha dalili hizi na zile za hedhi ya kawaida (PMS), na ukweli wa kitaalamu kuhusu lini unapaswa kupima mimba

Soma Zaidi...