Posti hii inahusu zaidi malengo ya kusafisha vidonda, kwa sababu Kuna watu wengine huwa wanajiuliza kwa nini nisafishe kidonda hospitalini au kwenye kituo chochote Cha afya, yafuatayo ni majibu ya kwa Nini nisafishe kidonda.
Malengo ya kusafisha vidonda.
1. Kulinda kidonda kutokana na Maambukizi ya wadudu mbalimbali, tukumbuke kuwa vidonda vingine ni visafi na having wadudu kwa hiyo Ili kufanya kidonda kipone haraka ni kukisafisha Ili kiweze kutoingiliwa na wadudu na kuongeza maambukizi zaidi.
2. Tunasafisha vidonda Ili kuondoa unyevunyevu na kuondoa tisu zilizoharibika, kwenye vidonda uwa Kuna tisu zilizoharibika na kwa kawaida huwa ni nyeusi kwa rangi kwa hiyo tunapaswa kuondoa hizo tisu Ili zisijeendelea kuleta maambukizi zaidi na pia tunatoa unyevunyevu ambao unaweza kuwa chanzo Cha maambukizi mapya. In Kwa hiyo tunajua kuwa kuwepo kwa unyevunyevu kwenye sehemu ya kidonda na kuongezeka kwa maambukizi mapya.
3.Tunasafisha vidonda Ili tuweze kufunga vizuri sehemu mbalimbali zilizoharibika na kuifanya sehemu hiyo iweze kukaa kwenye hali inayoitajika kwa hiyo kwa wale wenye vidonda ni vizuri kusafisha kidonda kwenye sehemu za hospitalin na vituo mbalimbali vya afya Ili kuweza kuweka kidonda chako kwenye hali inayostahili hii usababisha kupona kidonda kwa haraka kuliko kawaida, kwa hiyo wote wenye vidonda nenda vituo vya afya mkapewa maelekezo zaidi.
4.Tunasafisha vidonda Ili kuongeza kiwango Cha vidonda kupona kwa haraka, ikiwa vidonda vimesafishwa kwa mda mwafaka na kw wakati bila kupitia sehemu mbalimbali ambazo usababisha ugonjwa kutopona vidonda upona haraka hata kama kina ukubwa kiasi gani, kwa hiyo kidonda kukisafishwa upona haraka, kwa hiyo wale wote wenye vidonda ambavyo mnaona ni vikubwa au vidogo vipelekwe hospitalini haraka Ili visafishwe na viweze kupona haraka.
5. Tunasafisha vidonda Ili kuweka pressure kwenye kidonda na hapo tutaweza kuzuia kuvuja kwa kidonda kwa hiyo kama Kuna kidonda pengine uwa Kuna damu kwa kusafisha kidonda tunaweza kupunguza kuvuja kwa kidonda na kusababisha kupunguza kiwango Cha damu mwilini.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi aina mbalimbali ya maumivu ya mwili, Maumivu ya mwili utokea kwa aina mbalimbali kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo ya DTP au DPT ambayo Inazuia magonjwa ya Donda Koo, Pepopunda na kifaduro.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vipimo vya kuchunguza kama una kiwango kikubwa cha asidi au tindikali tumboni
Soma Zaidi...Post hii inahusu umuhimu wa kupima virus vya ukimwi kwa mama wajawazito na wanaonyonyesha. Ni hatua ya kupima Mama akiwa mjamzito na wakati wa kunyonyesha ili kuepuka hatari ya kumwambikiza mtoto
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi umuhimu wa mate mdomoni, mate ni majimaji ambayo hukaa mdomoni na husaidia katika kazi mbalimbali mdomoni.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi,ni Imani walizonazo watu wengi kuhusiana na ugonjwa wa Ukimwi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa vidonda, kwa sababu tunaona vidonda vinashambulia sehemu mbalimbali za mwili ila tunakuwa hatuna sababu kwa hiyo zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa vidonda.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujikinga na kisukari
Soma Zaidi...Kupanda kwa msukumo wa damu ni ktendo ambapo moyo husukuma damu kwa nguvu kuliko kawaida ambapo hupelekea matatizo mengi kwenye mwili
Soma Zaidi...