image

Zaituni (Olive)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni/ Olive

Zaituni (olive).

Ni katika matunda yaliyojulikana toka zama za zamani sana. Tunda hili lina kiwango kikubwa cha cha vitamini E na madini ya copper na calcium. Pia tafiti za kisayansi zinaonesha kuwa tunda hili lina antioxidantan ambayo husaidia katika kuimarisha afya ya moyo na ini na pia husasidia katika kuzuia uvimbe.

 

Pia tafiti zinaonesha kuwa mafuta ya zaituni yana oleic acid yaani asidi ya oleik ambayo husaidia katika kuimarisha afya ya moyo pamojha na kuzuia kupata saratani. Pia tafiti zinaonesha kuwa tunda hili lina chembechembe ambayo husaidia katika kupunguza uwezekano wa kupata ugonjwa wa osteoporosis. Huu i ugonjwa wa unaowapata sana wazee, na huathiri mifupa na kuifanya dhaifu





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1368


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Sababu za maumivu ya tumbo baada ya kula
Zijuwe sababu kuu za kuwepo kwa maumivu ya tumbo baada ya kula chakula Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Nazi
Soma Zaidi...

FAIDA ZA KULA ZABIBU
Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za kula zabibu na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

Ulaji wa protini kupitiliza
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za ulaji wa protini kupitiliza Soma Zaidi...

Faida za kula chungwa na chenza (tangarine)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa na chenza (tangarine) Soma Zaidi...

Faida za kula Zabibu (grape)
faida za kula tunda zabibu kwa ajili ya afya yako Soma Zaidi...

JITIBU KWA TIBA ASILI, TIBA ZITOKANAZO NA VYAKULA
1. Soma Zaidi...

vitamini B na makundi yake
Makala hii inakwenda kukuletea kazi za vitamini B, pia tutajwenda kuona makundi ya vitamini B na kazi za kila kundi. Pia makala hii inakwenda kukufundisha vyanzo na vyakula vya vitamini B. Utajifunza pia kazi kuu za vitamini B kw Soma Zaidi...

Faida za kula limao
Usiwashangae wanaokula lima, kwa hakika kuna faida kubwa kiafya kula limao, je unazijuwa faida hizo Soma Zaidi...

Sababu zinazoweza kusababisha kukosa choo (kinyesi)
Kukosa choo aina ya kinyesi ni kutoweza kudhibiti kinyesi, hivyo kusababisha kinyesi kuvuja bila kutarajiwa kutoka kwenye puru. Pia huitwa kutoweza kudhibiti utumbo, Upungufu wa kinyesi hutoka kwa kuvuja mara kwa mara kwa kinyesi huku ukipitisha gesi had Soma Zaidi...

Vyakula vinavyosaidia katika kusafisha ini
Post hii inahusu zaidi baadhi ya vyakula ambavyo vinaweza kutumika ili kuweza kuweka ini kwenye hali yake ya kawaida. Soma Zaidi...

Je ulaji wa boga unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?
Je ulaji wa boga unafaa kwa mgonjwa wa kisukari? Soma Zaidi...