image

Zijue hasara za magonjwa ya ngono

Posti hii inahusu zaidi hasara za magonjwa ya ngono, ni magonjwa yanayoambukizwa kwa kujamiiana bila kutumia kinga.

Hasara za magonjwa ya ngono

1. Usababisha ugumba, magonjwa haya yasipotibiwa mapema wadudu ushambulia via vya uzazi na kusababisha ugumba

 

2. Usababisha Kansa ya kizazi.Hali hii utokea pale ambapo, maambukizi usambaa kwenye via vya uzazi na kutengeneza seli zisizotarajiwa na kuleta Kansa

 

3. Usababisha kutoka kwa uchafu mbaya wenye harufu kali inayotisha kwa watu waliotuzunguka na kwa mgonjwa mwenyewe

 

4.usababisha via vya uzazi kuharibika na mgonjwa uanza kukojoa damu na usaha

 

5, usababisha kifo, mgonjwa asipotibiwa haraka anaweza kupoteza maisha. 

Kwa hiyo tunapaswa kuwalinda na kuwasaidia wagonjwa wetu ikiwa wamepatwa na ugonjwa huo, tusiwanyanyapae.           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021/11/24/Wednesday - 08:01:58 pm Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1100


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

tamaa
33. Soma Zaidi...

HUDUMA YA KWANZA KWA ALIKAZWA NA MISULI
Kukaza kwa misuli lunaweza kutokea muda wowote ila mara nyingi hutokea pindi mtu anapofanya mazoezi, amnapoogelea ama anapofanya kazi. Soma Zaidi...

Mabadiliko kwa wavulana wakati wa kubarehe
Post hii inahusu zaidi mabadiliko kwa wavulana wakati wa kubarehe, ni kipindi ambacho ni kutoka utotoni kwendea ujana. Soma Zaidi...

Mkojo wa kawaida
Posti hii inahusu zaidi mkojo wa kawaida kwa kila mwanadamu na unavyopaswakuwa, mkojo wa kawaida kwa binadamu huwa na sifa zifuatazo. Soma Zaidi...

Imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi.
Posti hii inahusu zaidi imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi,ni Imani walizonazo watu wengi kuhusiana na ugonjwa wa Ukimwi. Soma Zaidi...

Maji
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za maji mwilini Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu kazi za ini.
Posti hii inahusu zaidi kazi za ini, kwa kawaida tunafahamu kwamba ini ni sehemu muhimu kwenye mwili wa binadamu kwa sababu ni.likikosa kufanya kazi yake maisha ya binadamu yanakuwa hatarini kwa sababu mbalimbali. Soma Zaidi...

Njia za kujikinga na kisukari
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujikinga na kisukari Soma Zaidi...

Kumsaidia mtu aliyeingiwa na uchafu au kitu chochote machoni
Posti hii inahusu hasa jinsi uchafu, wadudu na vitu vingine vinavyoweza kuingia machoni.macho ni mojawapo ya milango mitano ya fahamu ambapo kazi yake ni kuona. Soma Zaidi...

Namna ya kumwosha Mgonjwa vidonda
Posti hii inahusu zaidi njia za kutumia unapotaka kumwosha Mgonjwa vidonda, ni njia muhimu ambazo ni lazima kuzipitia unapotaka kumwosha Mgonjwa vidonda. Soma Zaidi...

HUDUMA YA KWANZA KWA MTU ALIYEZIMIA (CARDIOPULMONARYRESUSCITATION) AU CPR
Kuzimia ni hali ya kupoteza fahamu ambako kunaendana na kutokuhema. Soma Zaidi...

Kiasi Cha mkojo kisichokuwa cha kawaida.
Hii posti inahusu zaidi sifa za mkojo usio wa kawaida,ukiona mkojo wa namna hii unapaswa kwenda hospitalini kwa matibabu au vipimo vya zaidi. Soma Zaidi...