ZIJUE SABABU ZA KUSHINDWA KUSHUKA KWA MAKENDE (TESTICLE))


image


Posti hii inahusu zaidi tatizo la kushindwa kushuka kwa makende kutoka kwenye tumbo kwenda kwenye skolatumu(scrotum).


1.Kushindwa kushuka kwa makende au kwa kitaamu huitwa testis kutoka kwenye sehemu ya tumbo kwenda kwenye skolatumu (scrotum) 

 

2. Kitendo hiki utokea pale ambapo makende ukaa ndani ya skolatumu (scrotum) lakini hushindwa kushuka kwa sababu mbalimbali kama vile

 

3. Magonjwa ya kuridhi kutoka kwenye familia, Kuna familia nyingine ambazo Wana ugonjwa huo kwa hiyo utakuta wavulana wote wa familia Moja wako hivyo.

 

4. Kutokamili kwa baadhi ya viungo vya uzazi kwa mtoto akiwa tumboni, kwa ajili ya mazingira mbalimbali wakati mwingine mtoto hushindwa kukamilika akiwa tumboni

 

5. Mazingira kama vile homoni ,Neva na kubadilika kwa mazingira ufanya makende kushindwa kushuka.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    2 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    3 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Habari za leo ndugu zangu mimi Ni dalili zipi hasa za awali zinazoashiria umeambukizwa ukimwi
Anataka kujuwa dalili za awali za kujuwa kuwa umeathirika na UKIMWI Soma Zaidi...

image Sababu za Maumivu ya shingo
Posti hii inazungumzia kuhusiana na maumivu ya shingo na ndani yake kunasababu zinazopelekea shingo kupata maumivu. Soma Zaidi...

image Dalili na Sababu za homa ya manjano kwa watoto
Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili na Sababu za Homa ya manjano ya watoto wachanga ni kubadilika rangi kwa manjano katika ngozi na macho ya mtoto mchanga. Homa ya manjano ya mtoto hutokea kwa sababu damu ya mtoto ina ziada ya rangi ya njano ya seli nyekundu za damu. Soma Zaidi...

image Dalilili za polio
Polio ni ugonjwa wa virusi unaoambukiza ambao katika hali mbaya zaidi husababisha kupooza, kupumua kwa shida na wakati mwingine kifo. Soma Zaidi...

image Dalili zinazoonyesha joto la kupungua mwilini (hypothermia)
joto la mwili wako linapungua, moyo wako, mfumo wa neva na viungo vingine haviwezi kufanya kazi kwa kawaida. Isipopotibiwa, Hypothermia hatimaye inaweza kusababisha moyo wako na mfumo wa upumuaji kushindwa kabisa na hata kifo. Soma Zaidi...

image Dalili za mama mjamzito akikaribia kujifungua
Post hii inazungumzia mama wajawazito Mara tu mama anapohisi kuwa yeye ni mjamzito anashauriwa kuanza clinic.na clinic hizi zinasaidia kuwapatia wakina mama elimu,namna ya kumkinga Mtoto asipatwe na maradhi Kama UKIMWI. Pia mama anapoanza clinic anapaswa kuenda na mwenza wake wakapime Kama wote ni wazima au sio wazima Soma Zaidi...

image Matatizo ya unene kwa watoto (childhood obesity)
post Ina onyesha madhara na matatizo ya Unene Utoto ni hali mbaya ya kiafya inayoathiri watoto na vijana. Inatokea wakati mtoto yuko juu ya uzito wa kawaida kwa umri na urefu wake Soma Zaidi...

image Jinsi moyo unavyosukuma damu
Post hii inahusu zaidi jinsi moyo unavyosukuma damu, moyo ni ogani ambayo usukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili. Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa vidonda vya kitanda (bed sores)
Posti hii inaonyesha dalili za ugonjwa wa Vidonda vya kitanda (bed sores)mara nyingi hukua kwenye ngozi ambayo hufunika sehemu za mifupa ya mwili, kama vile visigino, vifundoni, viuno. Vidonda vya kitanda vinaweza kukua haraka na mara nyingi ni vigumu kutibu. Mambo kadhaa yanaweza kusaidia kuzuia vidonda vya kitanda na kusaidia uponyaji. Soma Zaidi...

image Dawa za kutuliza maumivu na kazi zake
Post hii inahusu zaidi dawa za kupunguza maumivu na kazi zake, ni dawa ambazo upunguza maumivu kwenye mwili wa binadamu. Soma Zaidi...