Posti hii inahusu zaidi sehemu ambazo zinapaswa kudungwa chanjo, hizi ni sehemu zile zilizopendekezwa kwa ajili ya kuchoma chanjo kwa kadiri ya kazi ya chanjo.
Njia za na kuchoma chanjo.
1.Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa chanjo zinapaswa kufanya kazi kwa kadiri ya eneo ambalo limependekezwa kuchomwa, nyingine uchomwa kwenye paja la kulia, nyingine paja la kushoto, nyingine kwenye mkono wa kulia au wa kushoto, pengine ufanya hivyo ili kutofautisha na nchi nyingine, hali hii ina faida kwa sababu tunaweza kutofautiana kutoka nchi moja kwa nyingine kwa sababu ya makovu ya chanjo.
2.Chanjo nyingine utolewa kwenye bega la kulia.
Aina hii ya chanjo ambayo utolewa kwenye bega ni chanjo ya inayozuia kifua kikuu kwa hiyo kwa hiyo ukiangalia watanzania walio wengi kwenye bega la kulia kuna kovu la chanjo ya kuzuia kifua kikuu kwa hiyo pamoja na tiba usaidia kutofautisha wahamiaji na wasio wahamiaji.
3.Chanjo Ambazo utolewa mkono wa kushoto.
Hizi ni aina ya chanjo ambazo ni chanjo inayozuia Surua na kuharisha kwa hiyo hizi ni kinyume cha chanjo ya kifua kikuu na ambayo utolewa kwey mkono wa kulia na hizi utolewa mkono wa kushoto.
4.Kuna chanjo ambazo utolewa kwenye mguu wa kulia hizi chanjo usaidia kutibu Magonjwa ya kupooza, Dondakoo na homa ya inn, hizi chanjo upitishwa kwenye paja la kulia utolewa hivyo kulingana na kazi yake.
5.Na pia kuna chanjo ambazo upitishwa kwenye kinywa, hii ni chanjo ambazo utibu polio na kuharisha kwa hiyo upitishwa hapo kulinganisha na kazi yake.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi ajali ya jicho na visababishi vyake, ajali ya jicho ni pale jicho linavyoingiliwa na uchafu na vitu vingine ambavyo havistahili kuwa kwenye jicho
Soma Zaidi...Mtoto mdogo ni mtoto chini ya miaka mitano, yaan kuanzia pale anapozaliwa mpaka anapafikisha miaka mitano
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi umuhimu wa uterusi, ni mfuko unayosaidia kumtunza mtoto akiwa tumboni mwa mama yake.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepaliwa
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuchoma chanjo, ni njia ambazo utumika kutoa chanjo kwa watoto na watu wazima kwa utaratibu uliowekwa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi Imani potofu juu ya chanjo kwa watoto na akina Mama, ni baadhi ya Imani waliyonayo watu juu ya chanjo.
Soma Zaidi...vitamini k ni moja katika vitamini vinavyoitajika sana mwilini. Je unazijuwa athari za upungufu wa vitamini k mwilini?
Soma Zaidi...Je na wewe i katika wale ambaowanahitaji kujuwa kuhusu Vitamini A, kazi zake na vyakula vya vitamini A. post hii inakwenda kukujuza zaidi pamoja na historia ya vitamini A.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea endapo tatizo halijatibiwa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za seli. Seli ni chembechembe hai za mwili ambazo hufanya kazi mbalimbali katika mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...