Zijuwe faida za kiafya za kula nanasi

Je umeshawahi kula nanasi kwa wingi.

2.Faida za kula nanasi
1.Nanasi lin virutubisho kama fati, protini, vitamini C, vitamini B6, madini ya chuma, manganeseum na shaba.
2.Hupunguza misongo ya mawazo (stress)
3.Nanasi ni rahisi kumeng’enywa tumboni
4.Hupunguza hatari ya ugonjwa wa saratani
5.Huboresha na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
6.Hupunguza maumivu ya viungio
7.Husaidia kupona haraka baada ya kufanyiwa upasuaji
8.Ni tunda tamuJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2023/01/30/Monday - 02:51:50 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 512


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-