Zijuwe faida za kiafya za kula Zabibu

Kula zabibubkina faida nyingi kwa afya yako.

1.Faida za kula zabibu:
1.zabibu lina virutubisho vingi kama vitamini C , B6 na K na fat na madini ya shaba na manganese.
2.Ina antioxidanti zinazohusika kuondoa sumu za kemikali na vyakula mwilini
3.Hupunguza athari ama hatari ya magonjwa kama saratani, kisukari na maradhi ya moyo na mishipa ya damu
4.Huondoa stress na misongo ya mawazo
5.Hushusha shinikizo la damu
6.Hupunguza cholesterol mbay
7.Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
8.Husaidia kuimarisha afya ya macho
9.Huimarisha afya ya ubongo na utunzaji wa kumbukumbu
10.Husaidia kuboresha afya ya mifupa
11.Husidia kupunguza maambukizi ya baadhi ya bakteria, virusi na fangasi
12.Hupunguza kuzeheka mapemaJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2023/01/30/Monday - 02:49:53 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 410


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-