image

Zoezi la 6 kusimamisha swala

Zoezi hili linamaswali mbalimbali kuhusiana na swala na masharti ya swala.

Zoezi la 6.1

2.(a) Tofautisha kati ya ‘kuswali’ na ‘kusimamisha swala’

(b)  Ni upi umuhimu wa kusimamisha swala katika Uislamu?

 

3.(a)  Nini maana ya ‘twahara’ kilugha na kifiqih.

(b)  Bainisha makundi ya maji yanayotumika kujitwaharishia.

(c) Orodhesha mambo yanayoweza kuharibu maji machache kutofaa   kujitwaharishia.

4.(a)  Toa maelezo mafupi juu ya

        (i)  maji safi                           (ii)  udongo safi              (iii)  najisi  (iv)  hadathi

     (b)  Taja mgawanyo wa najisi na namna ya kujitwaharisha kwa kila aina ya najisi

5.Bainisha kati ya najisi kubwa na najisi ndogo.

  1. najisi hafifu na najisi ndogo.
  2. Maji makombo na maji mutlaq

            (b)  (i)  Eleza maana ya hadathi.

                 (ii)  Bainisha mgawanyo wa hadathi na namna (jinsi) ya kujitwaharisha kwazo.

 

6.(a)  Kwa kutumia ushahidi wa aya, orodhesha nguzo za udhu.

(b)  Eleza maana ya

                  (i)  Tayammamu      (ii) Qibla

(c)  Eleza hatua kwa hatua namna ya

                  (i)  kutia udhu                (ii)  kutayammamu

                  (iii)  kujitwaharisha kutokana na hadath kubwa (janaba).

 

7.(a)  Bainisha mambo yanayotengua udhu.

(b)  Taja nguzo na masharti za tayammamu

 

8.Ainisha mipaka ya sitara ya mwanamume na mwanamke kwa mujibu wa Qur’an na Sunnah.

 

9.(a)  Taja nyakati zilizoharamishwa kuswali

(b)  Tofautisha kati ya ‘adhana’ na ‘iqama’





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 958


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Kuenea kwa dhana ya udhibiti uzazi na uzazi wa mpango
Kustawi kwa Kampeni ya Kudhibiti UzaziMiongoni mwa sababu zilizosaidia kustawi kwa kampeni hii ni matokeo ya mapinduzi ya viwanda (Industrial revolution) ya huko Ulaya. Soma Zaidi...

Historia ya adhana na nama ya kuadhini
Soma Zaidi...

Dhana ya haki na uadilifu katika uislamu
HAKI NA UADILIFU KATIKA UISLAMU. Soma Zaidi...

Haki za binadamu kwa ujumla (basic human rights)
Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: Dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Historia ya adhana na Iqama na jinsi ya kuadhini.
Hadithi hii inakwenda kukufundisha historia fupi ya adhana pia utakwenda kujifunza jinsi ya kuadhini na kuqimu. Soma Zaidi...

malezi ya mtoto mchanga baada ya talaka
Soma Zaidi...

Nguzo za udhu ni sita
Post hii itakufundisha kuhusu nguzo kuu sita za udhu. Soma Zaidi...

SWALA
1. Soma Zaidi...

SHARTI ZA KUWAJIBIKA KWA ZAKA
Soma Zaidi...

Msisitizo juu ya kutoa zaka na sadaka
Soma Zaidi...

Hekma katika hukumu za mirathi katika uislamu, na ni kwa nini wanaume wanazidi katika kurithi katika uislamu
Soma Zaidi...

Kwa nini lengo la kutoa zaka halifikiwi na watoaji zaka?
Kwa nini Lengo la Zakat na Sadaqat Halijafikiwa katika Jamii yetu? Soma Zaidi...