Mwana mke wang mwezi wa 8 alipima mimba kwa kipimo cha mkojo ikaleta postive lina mwez wa 8 huo huo mwishoni akaingia period ndo ikawa mwisho had leo hii hajawahi ingia tena na kila mara tumbo linamuuma na akipima anakuta hana mimba
Inaweza kutokea ukapima mimbaikawa ipo, na baada ya wiki kadhaa unapima tena haipo. Hali hii unadhani inaweza kusababishwa na......