Bongoclass

KOTLIN somo la 1: Historia ya kotlin na kazi zake
FEATURED STORY

KOTLIN somo la 1: Historia ya kotlin na kazi zake

Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya Kotlin pamoja na kazi za kotlin. Pia utakwenda kujifunza kuhusu uhusiano wake na java....

Soma Makala

Makala Mpya

Tehama ni nini

Umesha sikia sana kuhusu neno tehama, lakini je umeshajuwa tehama ni nini hasa. Katika makala hii utakwenda kujifunza kuhsu tehama...

About

Kuhusu Bongoclass

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.

Mchanganyiko