Sababu za maumivu ya tumbo la chango wakati wa hedhi, nini ufanye na dalili za maumivu ya tumbo la chango

Maumivu wakati wa hedhi kama tulivo zoea kuyafahamu kama tumbo la chango, ama chango la wananwake. Kitaalamu maumivu haya yanatambulika kama dysmenorrhea. Ni maumivu ambayo wanayapata wanawake walio katika umri wa kupata hedhi, na mara nyingi yanakuwa ni chini ya tumbo. Kikawaida maumivu haya ni ya kawaida kiasi hayamfanyi mwanamke kushindwakufanya kazi zake. Lakini wakati meingine yanaweza kuwa makali kiasi cha mwanamke kushindwa kufanya kazi. Kuna sababu nyingi za maumvu haya na dalili zake. Makala hii itakwenda kuangalia sababu za tumbola hedhi ama maumivu ya tumbo la chango, dalili zake na nini afanye.
DALILI ZA MAUMIVU YA UMBO LA HEDHI AU CHANGO
1.maumivu ya chini ya tumbo. Maumivu haya ynaanz kidogo kidogo na kuongezeka.
2.Maumivu ya tumbo yanayoanza siku moja ama tatu kabla ya kuingia hedhi na huweza kuendeea kwa siku 2 ama tatu baada ya hedhi
3.Maumivu ya tumbo ya kawaida
4.Maumivu kwenye mgongo na mapaja.
Baadhi ya wanawake pia wanaweza kupata dalili zifuatazo:-
1.Kichefuchefu
2.Kupata kinyesi laini
3.Maumivu ya kichwa
4.Kizunguzungu
SABABU ZA MAUMIVY YA TUMBO LA CHANGO AU TUMBO LA HEDHI
Wakati wa hedhi inapokaribia tumbo la mimba linajikunja na kukaza ili kuondoa tishu (nyamanyama) zilizoota ndani ya tumbo. Wakati huu mwili huzalisha homoni ijilikanayo kama prostagladins ambayo ndio husaidia kuondoa tishu za ziada zilizoota wakati tumbo lilipokuwa tayari kupokea ujauzito. Katika kuodolewa tishu (yamanyama) kizi ndipo mwanamke hupata maumivu ya tumbo la hedho au maumivu ya tumbo la chango.
Walio hatarini zaidi maumivu haya kuwa makali sana
Katika hali ya kawaida maumivu ya tumbo la chango ama maumivu wakati wa hedhi sio makali kiasi hiko cha kuharibu shughuli za kawaida. Ila huweza kutokea wakati mwingine yakaongezeka zaidi ya kawaida. Hii ni kutokana na uzalishwaji wa hmoni kwa wingi. Lakini pia wapo watu wapo hatarini katika hili, yaani maumivu ya tumbo la chango yanaweza kuzidi:-
1.walio katika umri chini ya miaka 30
2.Waliovunja ungo wakiwa na umri wa mika 11 ama chhini ya hapo
3.Kama unapata damu nyingi wakati wa hedhi
4.Kama hedhi yako inarukaruka
5.Unawza pia kurithi hali hii kama ipo kwenye ukoo wenu
6.Kama unavuta sigara
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inajihusisha jinsi gani wanadamu wa kwanza walivyoishi na mwenyezi Mungu apo zamani.tunaona kuwa vitabu vinatuambia vya dini vinatuambia Mungu amemuumba mwanadamu kwa mikono yake mwenyewe.lakini kisayansi tunaona kwamba mwanadamu ametokana na wa
Soma Zaidi...Maala h nawenda kukufundisha matbabu ya utbu fangas wa wenye ucha.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu wa kundi O na vyakula ambavyo wanapaswa kula na tabia za watu hawa wana vyakula ambavyo wanapaswa kula na vingine hawapaswi kama tutakavyoona hapo baadaye.
Soma Zaidi...Nauriza mjamzito kuvimba miguu na maziwa nini tatizo lake?
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukupa majibu ya maswali mengi kuhusu VVU na UKIMWI. tutakwenda kuona kwa ufupi historian a chanzo cha VVU na UKIMWI. hatuwa za maambukizi ya VVU na ukimwi na dalili zake za kuonekana toka kupata maambukizi. Pia hapa utajifunza namna
Soma Zaidi...Nahitimisha kwa kusema ili ufanikiwe katika kuwa mahili wa kutafuta taarifa mtandaoni au kujifunza chochote mtandaoni ni lazima uelewe kuwa borwser au kivinjali kwa kiswahili ndio kama njia ya wewe kuingilia tovuti yoyote ile duniani.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa zinazotumika kutibu kifua kikuu, dawa hizi zimegawanyika kwa makundi makubwa mawili na kila kundi na dawa zake, watu wengine utumia kundi la kwanza na wengine utumia kundi la pili kufuatana na jinsi mwili wa mtu ulivyopokea Ain
Soma Zaidi...posti hii inaonyesha dalili na Ishara kuu ya utasa wa kiume ni kutokuwa na uwezo kumpa mwanamke ujauzito. Kunaweza kuwa hakuna dalili nyingine dhahiri.
Soma Zaidi...DEFINITIONAcne is a skin condition that occurs when your hair follicles become plugged with oil and dead skin cells. Acne usually appears on your face, neck, chest, back and shoulders. Effective treatments are available, but acne can be persistent. The pi
Soma Zaidi...