KUWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA MAPEMA: kumwaga mbegu mapema
Hii ni hali inayowapata sana wanaume huwa wanamaliza hamu ya tendo la ndoa mapema kabla ya mwenza kuridhika.
KUWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA MAPEMA
Hii ni hali inayowapata sana wanaume huwa wanamaliza hamu ya tendo la ndoa mapema kabla ya mwenza kuridhika. Hii hutokea pale mwanaume anapomwaga mbegu mapema sekunde chache ama muda mchache baada ya kuingiza uume ukeni. Wengi wenye tatizo hili humwaga ndani ya dakika moja na tatizo huwa baya zaidi kwa wengine ambao humwaga ndani ya sekunde 30 baada ya kuingi za uume. Hali hii kitaalamu hujulikana kama premature ejaculation.
Hali hii huweza kuambatana na mambo mengi hususani matatizo ya kisaikolojia, maradhi ama maumbile. Wakati mwingine hali hii humpata mwanaume yeyote hata kama sio muathirika wa tatizo hili. Ila hii huwa ni tatizo kama hali hii itakuwa inajirudia rudia muda mwingi.
Sababu za tatizo hili:
- matatizo kwenye mfumo wa homoni
- Maradhi na kuwepo uvimbe kwenye korodani
- Kurithi tatizo hili kwenye familia
- Kuwa na msongo wa mawazo
- Kuwa na tatizo la uume kunywea mapema
- Uwoga na msongo wa mawazo
- Kutokupendezewa na umbo la mwenza
- Mahusiano yaliyo mabovu
- Kuogopa kumaliza tendo mapema
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 web hosting 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Maumivu ya tumbo wakati wa tendo la ndoa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo wakati wa tendo la ndoa
Soma Zaidi...Vyanzo vya mwanamke kushindwa kupata ujauzito
Posti hii inahusu zaidi vyanzo vya mwanamke kushindwa kupata ujauzito, kwa sababu kuna sababu nyingi ambazo Usababisha mwanamke kushindwa kupata ujauzito kama tutakavyoona hapo mbeleni
Soma Zaidi...Dalili na sababu za Kukosa hedhi
Post hii inaongelea kuhusiana na Kukosa hedhi ambapo kitaalamu hujulikana Kama Amenorrhea ni kutokuwepo kwa hedhi - hedhi moja au zaidi ya kukosa. Wanawake ambao wamekosa angalau hedhi tatu mfululizo wana amenorrhea, kama vile wasichana ambao hawajaanz
Soma Zaidi...Faida na hasara za kutumia kondomu kama njia ya uzazi wa mpango
Kondomu ni mpira ambao uwekwa kwenye uke au uume kwa ajili ya kuzuia mimba wakati wa kujamiiana
Soma Zaidi...Madhara ya kutumia vidonge kwa akina dada vya uzazi wa mpango
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa akina dada.
Soma Zaidi...