SABABU ZA KUKOSA NGUZU ZA KIUME AMA KUWA NA UWEZO MDOGO WA KUHIMILI TENDO LA NDOA

Hii ni hali inayowapata wanaume kushindwa kuhimili tendo la ndoa.

SABABU ZA KUKOSA NGUZU ZA KIUME AMA KUWA NA UWEZO MDOGO WA KUHIMILI TENDO LA NDOA

KUKOSA NGUZU ZA KIUME NA SABABU ZAKE

Hii ni hali inayowapata wanaume kushindwa kuhimili tendo la ndoa. Hii huwenda kuwa uume unashindwa kusimama (kutisa) kwa kwa muda mrefu, ama unashindwa kabisa kusimama. Kitaalamu hali hii hufahamika kama erectile dysfunction. Hali hii haihusishi wale wenye tatizo la kumaliza hamu mapema (premature ejaculation) yaani wanaomaliza haja yao hata kabla ya mwenza kuridhika.

 

Sababu za tatizo hili:

  1. Kuwa na maradhi ya moyo
  2. Kuziba kwa mishipa ya damu (atherosclerosis)
  3. Kuwa na mafuta mengi mwilini (high cholesterol)
  4. Kuwa na presha ya kupanda (high blood pressure)
  5. Kisukari
  6. Matumizi ya baadhi ya madawa
  7. Uvutaji wa sigara
  8. Maradhi kwenye uume kama peyronie
  9. Unywaji wa pombe
  10. Utumiaji wa madawa ya kulevya
  11. Matibabu ya saratani ya korodani
  12. Upasuaji katika maeneo nyeti au ugwe mgongo
  13. Kuwa na mdongo wa mawazo ama woga
  14. Mahusiano yasiyo mazuri
  15. Kuwa na uzito kupitiliza


                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 324


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-