Dalili za kuharibika kwa ujauzito na dalili za kuharibika kwa ujauzo
Kitendo cha kuharibika kwa ujauzito kitaalamu hutambulika kama spontaneous abortion. Ni kutoka kwa ujauzito ndani ya wiki 20 za mwanzo. Tafiti zinaonesha kuwa yapata asilimilia 50 ya mimba hutoka yaani nusu ya mimba zinazotugwa hutoka. Wengiwao hupatwa tu na ha;I ya kukosa siku zao bila ya kujuwa kama walikuwa na ujauzito na wengine wanajigundua. Pia tafiti zinaonyesha kuwa yapata asilimia 15 mpaka 25 ya mimba ambazo zimejulikana hutoka. Hata hivyo mimba nyingine hutoka siki chache tu baada ya kuingia. Sasa ni kwa nini mimba hutoka? Makala hii inakwenda kukupa elimu juu ya kutoka kwa mimba, dalili zake na sababu zake.
Dalili za kutoka kwa ujauzito
1.Kutokwa na damu ambayo inawza kuongezeka kadiri muda unavyoenda.
2.Maumivu ya tumbo
3.Kupata uchovu
4.Maumivu makali ya mgongo
5.Kupatwa na homa iliyochanganyikana na moja ya dalili zilizotajwa hapo juu.
6.Sababu za kutoka ujauzitoMaumivu ya chango kupitiliza
Mimba nyingi hutoka kwa sababu kuna matatizo kwenye genetics za mtoto na si kosa la mama ama la baba. Hii ni kutokana na maumbile ya mtoto kuwa na shida katika ufanyikaji. Sababu nyingine za kutokwa na ujauzito ni:-
1.Maambukizi, watu waishio na baadhi ya maambukizi kama PID ama HIV wanaweza kuwa hatarini.
2.Kuwa na maradhi kama kisukari ama maradhi katika tezi ya thyroid
3.Matatizo katika homoni
4.Mfumo wa kinga kuondoa mimba
5.Shughuli na maumbile ya mama
6.Mfuko wa mimba kuwa na matatizo
Pia mwanamke anaweza kuwa na nafasi kubwa ya kutokwa na ujauzito kama:-
1-Atakuwa na umri wa zaidi ya miaka 35
2-Ana maradhi kama kisukari au maradhi ya tezi ya thyroid
3-Kama ana kawaida ya kutokwa na ujauzito zaidi ya mara tatu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi huduma kwa mama ambaye mimba inataka kutoka, mimba za aina hiyo kwa kitaalamu huitwa inevitable pregnant ni lazima itoke tu hata kama kuna juhudi mbalimbali za wataalamu mimba hii utoka kabisa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo muhimu kwa wanawake kabla ya kubeba mimba,Ni mambo ya kuzingatia ili mama akija kubeba mimba awe mzima kimwili, ki afya na kisaikolojia na hivyo hivyo Mtoto atakayezaliwa atakuwa salama.
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukueleza kuhusu siku za kupata mimba na dalili za siku hizo.
Soma Zaidi...Mama mjamzito anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa mpaka siku ya kujifungua Kama mume wake pamoja na yeye akiwa Hana maambukizi ya zinaa na Kama akiona dalili zozote zile za hatari ndio hataruhusiwa kushiriki tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye uke wa Mama pale anapobeba tu mimba, Mama anapobeba mimba Kuna mabadiliko Katika uke wa Mama kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mda ambao mama anapaswa kukaa bila kufanya tendo la ndoa mara tu baada ya kujifungua.
Soma Zaidi...Kama na wewe una tatizo la kupitiliza siku zako za hedhi hli ya kuwa huna ujauzito, soma post hii ina majibu yako.
Soma Zaidi...Kupungua kwa idadi ya mbegu za kiume kunamaanisha kuwa Majimaji (shahawa) unayotoa wakati wa kufika kileleni huwa na mbegu chache kuliko kawaida. Hesabu yako ya manii inachukuliwa kuwa chini kuliko kawaida ikiwa una chini ya mbegu milioni 15. Kuwa na idad
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye ngozi wakati wa ujauzito, ni mabadiliko yanayotokea kwenye ngozi ya Mama wakati wa ujauzito.
Soma Zaidi...Download Kitabu cha elimu ya Ujauzito na malezi ya mimba.
Soma Zaidi...