AFYA YA UZAZI NI NINI?, PIA UTAJIFUNZA MATATIZO YA HEDHI, KUTOKUPATA UJAUZITO, ULEZI WA MIMBA NA MTOTO, TEZI DUME NA NGIRI MAJI, NGUVU ZA KIUME
AFYA YA UZAZI Afya ya uzazi huweza kufungamana na mambo mengi sana.
AFYA YA UZAZI
AFYA YA UZAZI
Afya ya uzazi huweza kufungamana na mambo mengi sana. Maradhi na mtindo wa maisha wa mtu huweza kuchukuwa nafasi kubwa katika kuzungumzia afya ya uzazi. Wazazi wengi wamekuwa wakilalamika kkuhusu swala na kushika mimba, maradhi ya kizazi pamoja na wanaume kulalamika kutokuwa na nguvu za kutosheleza haja zao. Afya ya uzazi imekuwa ikichukuwa kundi kubwa la watu pindi inapozungumziwa. Kizazi kilicho salama kinategemea ubora wa afya hii pamoja na malezi yaliyo bora kutoka kwa wazazi.
Katika makala hizi tutakwenda kuona mengi katika hayo yanayohusiana na afya ya uzazi kwa wanaume, wanawake pamoja na watoto ambao ndio kwa kiasi kikubwa afya zao. Makala hii imeandikwa kwa kuangalia tafiti za kiafya zilizofanya katika maeneo mbalimbali duniani.
Tunaheshibu na kuthamini afya ya mtu. Katu hatuthubuthu kuandika kitua bila ya marejeo, hivyo basi ukigundua chochote ambacho hakiposawa kwenye makala hii basi wasiliana nami kwa haraka zaidi
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 web hosting 👉4 Simulizi za Hadithi Audio 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Fahamu mtindo mzuri wa maisha
Postei hizi inahusu zaidi mtindo mzuri wa maisha, yaani mtu ale ki vipi au afanyeni nini ili kuweza kuboresha afya yake.
Soma Zaidi...ZIJUWE FIGO, KAZI ZA FIGO NA NAMNA YA KULINDA FIGO DHIDI YA MARADHI
Je unatambuwa namna fgo inavyofanya kazi, unazijuwa kazikuu za fogo mwilini, na je unajuwa namna ya kujilinda dhidi ya maradhi ya figo?. Basi makala hii itakujuza kuhusu masomo haya1
Soma Zaidi...Jinsi ya kusema "Hapana" ili kupunguza majukumu na msongo wa akili.
Wengi wetu tunasumbuliwa na ugonjwa wa "kupendeza kila mtu" (people-pleasing), hali inayotufanya tukubali kila ombi hata kama hatuna nafasi. Makala haya yanakupa mbinu za kisaikolojia na mifano halisi ya jinsi ya kusema "Hapana" kwa staha, bila hatia, ili kupunguza mzigo wa majukumu na kulinda afya yako ya akili.
Soma Zaidi...hathari zitokanazo na uvutaji wa sigara ,pombe na madawa ya kulevya na mbinu za kujikinga nayo
Posti hii inahusu zaidi utumiaji wa pombe na sigara pamoja na madawa katika jamii.
Soma Zaidi...Namna ya kutunza chumba cha upasuaji
Posti hii inahusu zaidi namna ya kutunza chumba cha upasuaji, chumba cha upasuaji ni tofauti na vyumba vingine kwenye hospitali kwa hiyo vinahitaji uangalizi wa hali ya juu sana ili kuepuka aina yoyote ya uchafu kuwepo kwenye chumba hicho, zifuatazo ni na
Soma Zaidi...