AINA KUU ZA VYAKULA: vyakula vya protini, wanga, fat na mafuta, vitamini, madini na maji

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

AINA KUU ZA VYAKULA: vyakula vya protini, wanga, fat na mafuta, vitamini, madini na maji

1.AINA ZA VYAKULA
1.VYAKULA VYA PROTINI
Hivi ni vyakula ambavyo vinakazi ya kuujenga mwili pamoja na kuukarabati mwili. Kupona kwa vidonda na makovu vyote ni kazi ya protini. Uotaji wa nywele mpya pamoja na kukuwa kwa kucha baada ya kuzikata vyoye hivi hufanyika shukrani kwa vyakula vya protini.

Unaweza kuvipata vyakula vya protini kutokana na maziwa, nyama, mayai, na samaki. Katika mimea pia unaweza kupata protini kwa kula maharage, mchele na baadhi ya nafaka zingine. Pia ulaji wa mboga za majani unaweza kusaidia kupatikana kwa protini. .


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Jiunge nasi WhatsApp
Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 839

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉2 Kitabu cha Afya    👉3 Simulizi za Hadithi Audio    👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉5 Madrasa kiganjani    👉6 Dua za Mitume na Manabii   

Post zinazofanana:

Nazi (coconut oil)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi

Soma Zaidi...
UPUNGUFU WA PROTINI NA FATI

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
Faida za kula Tango

Matunda ya zamani na ya asili, zijuwe faida za kiafya za tango

Soma Zaidi...
Faida za kula maini

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maini

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za peaz/ peas

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi/peas

Soma Zaidi...
Faida za vitamin C mwilini

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vitamini C mwilini

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula kisamvu

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kisamvu

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula biringanya (eggplant)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula biringanya eggplant)

Soma Zaidi...