CHUNGWA (ORANGE)


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa/orange


Chungwa (orange).

Embe ni katika matunda maarufu sana duniani kote. chungwa lina kiwango kikubwa cha vitamini C na madini ya potassium (potashiam). Pia embe ni chanzo kizuri cha vitamini B kama vile thiamine na folate.

 

Katika chungwa. kuna vitu vingi ambavyo husaidia sana katika afya. Kama vile flavonoid, carotenoid na citric acid. Citric acid husaidia katika kupunguza uwezekano wa kuweza kupa kupata matatizo ya figo (kidney stones). Embe pia husaidia katika kuzuia kupata maradhi ya anaemia.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    2 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Faida za ukwaju (tamarind)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za ukwaju Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula bamia/okra
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula kungumanga/nutmeg
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kungumanga/nutmeg Soma Zaidi...

image Matunda yenye vitamin C kwa wingi
Somo hili linakwenda kukuletea matunda yenye vitamin C kwa wingi Soma Zaidi...

image Faida za kula papai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai Soma Zaidi...

image Faida za kula uyoga
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kula uyoga Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula pera
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula pera Soma Zaidi...

image Faida za kula kabichi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kabichi Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula panzi, senene na kumbikumbi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula panzi senene na kumbikumbi Soma Zaidi...

image Faida za kula bamia
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia Soma Zaidi...