DALILI YA PRESSURE YA KUPANDA


image


Post ya leo inaenda kufundisha dalili na hatari za presha ya kupanda. Presha ni ugonjwa unaosababishwa na baadhi ya vitu mbalimbali.pressure hujulikana kwa jina lingine ambolo ni hypertension (pressure ya kupanda). presha hugundulika pale ambapo presha ya damu inapokuwa juu Sana kuliko Kawaida.


Swali;je nitagunduaje kuwa Nina presha ya kupanda?

Dalili za pressure ni

1.mapigo ya moyo kwenda haraka

2.kupumua kwa shida

3.damu kutoka puani

4.kichwa kuuma 

5.Kuishiwa nguvu

6.Jashi kutoka kwa wingi

 

Tuone watu walioko hatari ya kupata presha 

1.kuwa na mawazo mengi yasiyoisha

2.unene

3.kufanya mazoezi kupita kiasi

4.umri mkubwa

6.kula vyakula vyenye chumvi nyingi kupita kiasi

7.kuvuta sigara

8.kunywa pombe

9.familia yaan Mara nyingi tunasema Kurithi 

10.kuwa na magonjwa sugu Kama kisukari.nk.

 

Mwisho;presha ni ugonjwa unaotibika Kama ukiwahi hospitali,Kutumia dawa vizuri bila shida na kufata masharti lakini pia ni ugonjwa ambao usipofata mashart unaweza kufa Tena kimya kimya maana ugonjwa huu sio rahisi kujulikana kw haraka.

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    2 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    6 Hadiythi za alif lela u lela    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Jinsi ya kujikinga na mafua (common cold)
Posti hii inazungumzia dalili na namna ya kujikinga tusipate mafua .mafua kwa jina lingine hujulikana Kama baridi ya kawaida (common cold).baridi ya kawaida husababishwa na virusi kwenye pua na hutoa makamasi. Soma Zaidi...

image Namna ya kujikinga na ugonjwa wa madonda ya koo
Post hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa madonda ya koo,ni njia ambazo usaidia katika kujikinga na ugonjwa wa madonda ya koo. Soma Zaidi...

image Namna ya kumsaidia mgonjwa aliye na Maambukizi kwenye milija na ovari
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari, ni wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari. Soma Zaidi...

image Dalili za mimba changa kutoka
Post hii inaenda kuzungumzia zaidi kuhusiana na mimba zinazoharibika . mimba huweza kuaribika au kutoka anzia miezi 3 na kuendelea . Soma Zaidi...

image Saratani ya matiti (breasts cancer)
Post yetu inaenda kuzungumzia kuhusiana na Saratani ya Matiti ni Saratani ambayo hutokea katika seli za matiti. Baada ya Saratani ya Ngozi, Saratani ya matiti ndiyo Saratani inayojulikana zaidi hugunduliwa kwa wanawake Mara nyingi. Saratani ya Matiti inaweza kutokea kwa wanaume na wanawake, lakini inawapata zaidi wanawake. Soma Zaidi...

image Dalilili za homa ya manjano
posti hii inahusu dalili za Homa ya Manjano ni maambukizi ya virusi yanayoenezwa na aina fulani ya mbu. Maambukizi hayo ni ya kawaida zaidi na kuathiri wasafiri na wakazi wa maeneo hayo. Soma Zaidi...

image Dalilili za polio
Polio ni ugonjwa wa virusi unaoambukiza ambao katika hali mbaya zaidi husababisha kupooza, kupumua kwa shida na wakati mwingine kifo. Soma Zaidi...

image Matokeo ya maambukizi kwenye milija na ovari
Posti hii inahusu zaidi matokeo ya maambukizi kwenye milija na ovari, ni matokeo apatayo mtu mwenye maambukizi kwenye milija na ovari. Soma Zaidi...

image Maambukizi kwenye uume
Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye uume, maambukizi hata utokea kwenye kichwa Cha uume kwa kitaalamu huitwa Balanitis, zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa ugonjwa huu. Soma Zaidi...

image Sababu za maumivu ya matiti na chuchu
Maumivu ya matiti yanaweza kuanzia kidogo hadi makali. Inaweza kukuathiri siku chache tu kwa mwezi, kwa mfano kabla tu ya kipindi chako, au inaweza kudumu kwa siku saba au zaidi kila mwezi. Maumivu ya matiti yanaweza kukuathiri kabla tu ya kipindi chako au yanaweza kuendelea katika mzunguko wote wa hedhi. Wanawake waliokoma hedhi wakati mwingine huwa na maumivu ya matiti, lakini maumivu ya matiti huwa ya kawaida zaidi kwa wanawake wachanga, waliopita kabla ya kukoma hedhi na wanawake walio katika kipindi cha mwisho cha hedhi. Soma Zaidi...