Home Afya Shule ICT Burudani Dini Maktaba Maswali Madrasa Apps Blog Legacy Login

DALILI ZA MALARIA


image


Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu kwa kitaalamu anaitwa Anopheles.na anasambazwa na mbu jike pale anapotafuta chakula hasa wakati akiwa na mimba. Mbu hawa hupenda kuishi kwenye mnyasi, madibwi haswa kwenye maji yaliyo simama.


     Zifuatazo ni dalili za malaria;

-kuumwa kichwa 

-homa za mara kwa mara 

-kichefuchefu na kitapika 

-kukosa hamu ya kula 

-degedege hasa kwa watoto wadogo 

-kurukwa na akili(mental health) hasa pale ambapo maleria imekuwa sugu na huingia kichwa na mtu huchanganyikiwa 

    Njia za kujikinga na malaria ni; 

-kufukia madibwi 

-kufanya usafi kwenye mazingira yaliyo tuzunguka 

-kupunguza majani au nyasi ili kuziia mbu wasizaliane 

-kuweka dawa kwenye madimbwi au sehemu mbalimbali Ili kuzuia mbu wasiishi na kuzaliana 

-Kutumia neti wakati unapolala usiku 

-Unaweza kutumia dawa za kujipaka Ili kujikinga na mbu.

 Matibabu yanayoweza kutibu ugonjwa wa malaria

-Dawa ; Kuna baadhi ya dawa ambazo zipo mahospitalini na hutibu ugonjwa huu na hupelekea mtu kupona .

       Mwisho; ukipata dalili kama hizi ni vyema kwenda hospital kwaajili ya matibabu na malaria ni ugonjwa hatari na Unaweza kuua kwahiyo ni vyema kuwahi hospitali kwaajili ya ushauri na matibabu zaidi.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    2 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Hadiythi za alif lela u lela    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS

Imeandikwa na Salvertory Tags AFYA , Afya , ALL , Tarehe 2021/11/10/Wednesday - 07:40:35 pm     Share On facebook or WhatsApp Topic school Zaidi Dini AFYA ICT Burudani Tags Uzazi maswali Afya mengineyo dini HIV Sira vyakula Matunda HTML php Alif Lela 1 Alif Lela 2 FANGASI Dawa SQL Tips Quran Sunnah fiqh DARSA Magonjwa Tajwid tawhid simulizi Dua Academy Wahenga chemshabongo WAJUWA Michezo ICT Imesomwa mara 1143



Post Nyingine


image Yajue matatizo yanayosababisha Ugonjwa wa akili.
Madhara ya ugonjwa wa akili yanaweza kuwa ya muda au ya kudumu. Unaweza pia kuwa na zaidi ya ugonjwa mmoja wa afya ya akili kwa wakati mmoja. Kwa mfano, unaweza kuwa na ulegevu na ugonjwa wa matumizi ya madawa ya kulevya. Soma Zaidi...

image Huduma kwa wanaopata hedhi zaidi ya mara moja kwa mwezi
Posti hii inahusu zaidi huduma kwa wanaoingia kwenye siku zao zaidi ya mara moja kwa mwezi. Soma Zaidi...

image Njia za kujikinga na UTI
Somo hili linakwenda kukuletea njia za kujikinga na UTI Soma Zaidi...

image Sababu za Kuvimba kwa kope.
Post hii inazungumzia kuhusiana na Sababu zinazopelekea kuvimba kwa kope, kawaida huhusisha sehemu ya kope ambapo kope hukua na kuathiri kope zote mbili. Pia hutokea wakati tezi ndogo za mafuta ziko karibu na msingi wa kope huziba. Hii inasababisha kuwashwa na macho mekundu. Magonjwa na hali kadhaa zinaweza kusababisha Kuvimba kwa kope. Lakini mara nyingi ni ugonjwa sugu ambao ni ngumu kutibu. inaweza kuwa na wasiwasi na inaweza kuwa mbaya. Lakini kwa kawaida haina kusababisha uharibifu wa kudumu kwa macho yako, na si ya kuambukiza. Soma Zaidi...

image Dondoo za afya 81-100
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dondoo za afya Soma Zaidi...

image Hatua mbili kuu za kushuka kwa Quran
Quran (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa kisonono, sababu zake nanjia za kujilinda.
Kisonono husababishwa na bakteria. Bakteria ya kisonono mara nyingi hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine wakati wa kujamiiana, ikiwa ni pamoja na kujamiiana kwa mdomo, mkundu au uke. Soma Zaidi...

image Maumivu ya tumbo wakati wa tendo la ndoa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo wakati wa tendo la ndoa Soma Zaidi...

image Njia za uzazi wa mpango kwa wanaonyonyesha.
Posti inahusu zaidi njia maalum za uzazi wa mpango kwa wanaonyonyesha,Ni njia za uzazi ambazo wanaonyesha wanatumia kwa sababu kuna njia nyingine zikitumiwa na wanaonyonyesha zinaweza kuleta matatizo kwa watoto au kusababisha maziwa kutokuwa na vitamini vinavyohitajika kwa sababu dawa hizo uingiliana na uzalishaji wa maziwa. Soma Zaidi...

image Upungufu wa damu unaosababishwa na minyoo.
Post hii inahusu zaidi upungufu wa damu unaosababishwa na minyoo dalili zake na namna ya kumsaidia mgonjwa mwenye tatizo hilo. Soma Zaidi...