image

Dalili za minyoo ya tumbo

Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili za minyoo ya tumbo ambapo minyoo hawa husababishwa na mtu kula vyakula vichafu ambavyo havijaiva vizuri au maji machafu pia au bacteria.

   Zifuatazo Ni dalili na ishara za minyoo ya tumbo

1.kula sana; baadhi ya watu wakiwa na minyoo huwa wanakula Sana kuliko hapo awali hivyo watu wwngine huwa na hamu ya kula.

 

2.kukosa hamu ya kula kabisa; baadhi ya watu wakipata minyoo ya tumbo hukosa hamu ya kula kabisa.

 

3.kutoa kinyesi chenye Damu pamoja na makamasi; wenye minyoo ya tumbo huona dalili za damu na makasi kwenye kinyesi chake .

 

4.tumbo kuchomachoma; hii pia Ni dalili ya minyoo ya tumbo ambapo mtu mwenye minyoo atasikia tumbo linachomachoma  na hupelekea maumivu makali sana.

 

5.kichefuchefu;  minyoo ya tumbo huleta kichefuchefu

 

6.kutapika; pia na hii Ni dalili Ila mda mwingine unaweza usitapike ukapata kichefuchefu.

 

Minyoo husababishwa na vitu vingi mfano kula nyama ambazo hazijaiva vizuri, maziwa ambayo hayajachemshwa vizuri,maji machafu ambayo hayajachemshwa, mboga mboga na vitu vingine vingi hupelekea minyoo .

     Mwisho; minyoo Ni za Hatari Kama zisipopatiwa matibabu pia Kuna dawa za minyoo ambazo Ni vyema Kila baada ya miezi mitatu kutumia.

           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1721


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Dalili kuu 7 za malaria na dawa ya kutibu malaria
Makala hii itazungumzia dalili za Malaria, athari za kuchelewa kutibu malaria, na matibabu ya malaria Soma Zaidi...

Nini husababisha ugonjwa wa kifua na maumivu ya kifua?
Posti hii inazungumzia sababu zinazopelekea kuumwa na kifua. Soma Zaidi...

Madhara ya kichaa cha mbwa
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtu hajatibiwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa. Soma Zaidi...

Dalili za jipu la jino.
Jipu la jino ni mfuko wa usaha unaosababishwa na maambukizi ya bakteria. Jipu linaweza kutokea katika maeneo tofauti ya jino kwa sababu tofauti. Soma Zaidi...

Mambo yanayosababisha kuharisha
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuharisha, kuharisha ni kitendo Cha kupitisha kinyesi Cha maji chenye damu au kisichokuwa na damu Soma Zaidi...

Madhara ya Tiba homoni kwa wagonjwa wa saratani
Posti hii inahusu zaidi madhara ya Tiba homoni, ni madhara- ambayo utokea kwa mgonjwa anayetumia homoni kama Tiba kwenye kutibu saratani. Soma Zaidi...

Dalilili za saratani ya utumbo
Saratani ya Utumbo ni Saratani ya utumbo mpana (koloni), sehemu ya chini ya mfumo wako wa usagaji chakula. Kwa pamoja, mara nyingi hujulikana kama Saratani ya utumbo mpana. Visa vingi vya Saratani ya utumbo mpana huanza Soma Zaidi...

Dalili za maambukizi kwenye magoti
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo mtu anaweza kupata ikiwa Kuna maambukizi kwenye magoti, kwa sababu mbalimbali ambazo usababisha maumivu au maambukizi kwenye magoti Kuna dalili za mwanzo ambazo zinajitokeza kama tutakavyoona hapo chini Soma Zaidi...

SABABU ZINAZOPELEKEA KUJAA KWA MATE MDOMONI NA MATIBABU YAKE
Kutokwa na mate mengi mdomoni si ugojwa ni hali inayoweza kutokea kwa mtu yeyote. Mara nyingi hali hii haihitaji matibabu wa dawa, na huondoka yenyewe. Lakini hutokea baadhi ya nyakati ikawa mate yanatoka zaidi mdomoni. Je na wewe ni miongoni mwao? Makala Soma Zaidi...

Dalili za fangasi ukeni
Post hii inakwenda kukujulisha dalili za kuwa huwenda una fangasi sehemu zako za siri. Soma Zaidi...

Matibabu ya fangasi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu matibabu ya fangasi Soma Zaidi...

Njia za kupambana na kuzuia gonorrhea
Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya njia za kupambana na kuzuia gonorrhea Soma Zaidi...