image

Dawa za kutuliza maumivu na kazi zake

Post hii inahusu zaidi dawa za kupunguza maumivu na kazi zake, ni dawa ambazo upunguza maumivu kwenye mwili wa binadamu.

Dawa za kupunguza maumivu na kazi zake

1.Ni dawa ambazo upunguza maumivu makali au ya kawaida kwenye mwili wa binadamu.

 

2. Na pia utumika kushusha joto la mwili kama liko juu madawa haya ni kama asprini , Panadol na mengine mengi

 

3. Ukija kutumia madawa haya ni lazima kupata maelekezo kwa wataalamu wa afya au watu wowote ambao Wana ujuzi kuhusu madawa

 

4. Madawa haya hayapaswi kutumiwa na watu wenye madonda ya tumbo kwa sababu ukwangua ukuta wa tumbo na kuleta madhara makubwa zaidi.

 

5. Tunapaswa kutumia madawa haya kwa tahadhari maumivu kama ni ya kawaida tuyavumilie kwa sababu madawa haya si vizuri kuyatumia mara kwa mara

 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1975


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Dalili za malaria
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya dalili za maralia Soma Zaidi...

dalili za mimba changa ndani ya wiki moja
Je na wewe ni katika ambao wanahitaji kujuwa dalili za mimba ndani ya wiki moja? kama ndio makala hii ni kwa ajili yako. Utakwenda kuona dalili za mwanzo sana za ujauzito toka siku za mwanzoni. Soma Zaidi...

Fahamu Ugonjwa unaosababisha madhara kwenye mapafu
Posti hii inaelezea kuhusiana na Magonjwa yanayosababisha madhara kwenye mapafu na kitaalamu hujulikana Ugonjwa wa Acute Respiratory Distress Syndrome (ARDS) hutokea wakati Majimaji yanapojaa kwenye vifuko vidogo vya hewa nyororo (alveoli) kwenye mapafu Soma Zaidi...

Dalili kuu 7 za vidonda vya tumbo
Zijuwe dalili kuu 7 za vidonda vya tumbo, kama kiungulia, tumbo kujaa, maumivu ya umbo.. Soma Zaidi...

Ni nini husababisha kuziba kwa Njia ya machozi
Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili na sababu zinazopelekea Ugonjwa wa kuziba kwa Njia ya machozi yaani kukosa machozi ambayo husababishwa na maambukizi. Soma Zaidi...

Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa dalili za mimba?
Kama unahisi maumivu ya tumbo huwenda umejiuliza swali hili ukiwa kama mwanamke "Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa dalili za mimba?". Post hii inakwenda kujibu swali hili Soma Zaidi...

Ugonjwa wa vitiligo, chanzo, dalili na matibabu yake
Katika post hii utajifunza kuhusu ugonjwa wa vitiligo, chanzo chake, dalili zake na matibabu yaje Soma Zaidi...

Je minyoo inaweza kusababisha mmeng'enyo wa chakula kuwa dhaifu?
Mfumo wa chakula unaweza kuwa dhaifu kwa sababu nyingi ikiwepo vyakula vyenyewe, vinywaji ama maradhi. Vipi kuhusu minyoo? Endelea na makala hii utajifunza zaidi. Soma Zaidi...

MALARIA NI NINI? NI WATU WANGAPI WANAKUFA KWA MALARIA DUNIANI
Malaria ni katika maradhi yanayosumbua sana na kusababisha maradhi ya watu wengi sana duniani. Soma Zaidi...

Nini chanzo cha malaria
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu chanzo cha ugonjwa wa malaria Soma Zaidi...

Msaada kwa wenye Maambukizi kwenye mifupa
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwahudumia wenye Maambukizi kwenye mifupa, ni njia ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kuwasaidia wenye Maambukizi kwenye mifupa. Soma Zaidi...

Dalili za HIV na UKIMWI kwenye Ulimi na Mdomo
Dalili za HIV na UKIMWI kwenye mdomo na ulimi utaziomna hapa. hizi zinaweza kuwa ndio za kwanza kwa ambaye hajapima HIV Soma Zaidi...