Dua sehemu ya 04

Soma dua mbalimbali za kila siku ambazo unatakiwa uzijuwe. Dua 120 ambazo muislamu anatakiwa kuzijua

Dua sehemu ya 04

BAADHI YA DUA ZA KILA SIKU.
Hizi ni dua ambazo zimekusanya mambo ya duniani na akhera. Yaani muombaji dua hizi atanufaika kwa mambo ya kidunia na akhera. Dua hizi ni zenye kujibiwa na hazichagui muda. Nidua ambazo zinaombwa wakati wowote ule. Hizi ni dua ambazo Mtume ' ' ' ' alikuwa akizipenda sana kuzitumia.

1.Dua ya kuomba kheri duniani na akhera. Amesimulia Anas ' ' kuwa alikuwa mtume ' ' ' ' alikuwa akioma sana dua hii 'ALLAHUMMA RABBANAA AATINAA FII DUNIYAA HASANA WAFIL-AAKHIRAT HASANA WAQINAA 'ADHAABAN-NAARI' (amesimulia Bukhari,Muslim na Abuu Daud).

2.Dua za kutaka maghafira (msamaha). Amesimulia Abuu Musa ' ' kuwa alikuwa Mtume ' ' ' ' akiomba dua hii 'ALLAHUMMA IGHFIR LII KHATWII-ATII, WAJAHLII, WAISRAAFII FII-AMRII, WAMAA ANTA A'ALAMU BIHI MINNII. ALLAHUMMA IGH-FIR LII JUDDII, WAHAZLII, WAKHATWAII, WA'AMDII, WAKULLA DHALIKA 'INDII. ALLAHUMMA IGH-FIRLII MAA QADDAMTU, WAMAA AKHARTU, WAMAA ASRARTU, WAMAA A'ALANTU, WAMAA ANTA A'ALAMU BIHI MINNII. WA ANTAL-MUAKHIRU, WAANTA 'ALAA KULLI SHAI-IN QADIIR' (amepokea Bukhari).

3.Dua ya kuomba rehma na rizki. Amesimulia Sa'ad ' ' kuwa alikuja mtu mmoja kwa Mtume akamwambia ewe mtume nijulishe maneno niwe ninayasema. Mtume akamwambia sema 'LAA ILAAHA ILLA LLAHU WAHDAHU LAA SHARIKA LAHU. ALLAHU AKBARU KABIIRAA WAL-HAMDU LILLAHI KATHIIRAA WASUBHAANA LLAHI RABBIL-'ALAMIINA LAAHAULA WALAA QUWATA ILLAA BILLAHIL-'AZIZIL-HAKIIM' akasema Mtu yule kumwambia mtume ' ' ' ' 'maneno haya ni kwa ajili ya Allah je! Ni yapi yatakuwa kwa ajili yangu? Mtume ' ' ' ' akamwambia sema 'ALLAHUMMA IGH-FIR LII WARHAMNII, WAHDINII WARZUQNII' (amepokea muslim).

4.Dua ya kujikinga na upotovu. Amesimulia Ibn 'Abas ' ' kuwa Mtume ' ' ' ' alikuwa akisema 'ALLAHUMMA LAKA ASLAMTU, WABIKA AAMANTU, WA'ALAIKA TAWAKALTU, WAILAIKA ANABTU WABIKA KHAASWAMTU. ALLAHUMMA INNII A'UDHUBIKA BI'IZZATIKA LAA ILAAHA ILLA ANTA AN TUDHWILLANII ANTAL-HAYUL-LADHII LAA YAMUUTU WALJINNU WAL-INSU YAMUUTUUNA'. (amepokea Muslim).

5.Dua ya kutaka hifadha kwa Allah katika mambo ya dunia na akhera. Amesimulia Ibn 'Abas ' ' kuwa alikuwa Mtume ' ' ' ' akiomba dua (hii): 'RABBI A'INNII WALA TU'IN 'ALAIYA WANSURNII WALAA TANSUR 'ALAIYA WAMKUR LII WALAA TAMKUR 'ALAIYA WAHDINII WAYASIRIL-HUDAA LII WANSURNII 'ALAA MAN YUGH-NII 'ALAIYA. RABBI IJ'ALNII SHAKRAA LAKA DHAKAARAA WAHAABAA LAKA MUTWAWAA LAKA MUKHBITAN ILAIKA AWAHAN MUNIIBAA. RABBI TAQABBAL TAUBATII WAGH-SIL HAUBATII WAJIB DA'AWATII WATHABIT HAJATII WASADID LISAANII WAHADI QALBII WASLUL SAKHIIMATI SWADRII'. (amepokea Tirmidh na Abuu daud kwa isnad sahihi).

6.Dua ya wakati wa kulala na kuamka.amesimulia Abuu Dhar ' ' kuwa alikuwa Mtume ' ' ' ' pindi anapotaka kulala usiku huweka mkono wake chini ya kitefute chake kisha husema 'BISMIKALLAHUMMA AHYAA WA AMUT' na anapoamka husema 'ALHAMDU LILLAHI LADHII AHYAANAA BA'ADA MAA AMAATANAA WAILAIHN-NUSHUUR'. (amepokea Ahmad Bukhari na musmlim).

7.Dua wakati wa kuvaa nguo. Amesimulia Ibn Sa'id ' ' kuwa alikuwa Mtume ' ' ' ' anapovaa nguo au kanzu au msuli au kilemba husema 'ALLAHUMMA INNII AS-ALUKA MIN KHAIRIHI WAKHAIR MAA HUWA LAHU WA A'UDHUBIKA MIN SHARI WASHARI MAA HUWA LAHU'

8.Dua wakati wa kutoka nyumbani. Amesimulia Anas ' ' kuwa amesema Mtume ' ' ' ' Mwenyekusema pindi anapoingia nyumbani kwake 'BISMILLAHI TAWAKALTU 'ALAA LLAHI WALAA HAULA WALAA QUWATA ILLAA BILLAH' huambia 'umetoshelezewa, umeongozwa na umekingwa na shetani' (amepokea Abuu Daud n Tirmidh).

9.Dua wakati wa kuingia nyumbani amesimulia Anas ' ' kuwa Mtume alimwabia 'ewe kijana changu utakapoingia kwa ahalizako (nyumbani kwako) salimia (yaani toa salamu 'ASALAAMU 'ALYKUM WARAHMATUL-LLAHI WABARAKAATUH') itakuwa ni baraka kwako na kwa ahalizako'. (amepokea Tirmidh).

10.Dua ya wakati wa kuingia chooni. Amesimulia Anas ' ' kuwa alikuwa Mtume ' ' ' ' anapoingia chooni husema 'BISMILLAHI ALLAHIMMA INNII A'UDHUBIKA MINALKHUBUTH WALKHABAAITHI'. (amepokea Bukhari Muslim).

11.Dua wakati wa kutoka chooni. Amesimulia ibn 'Umar ' ' kuwa alikuwa mtume ' ' ' ' anapotoka chooni husema 'GHUFRAANAKA ALHAMDU LILLAHI LLADHII ADH HABA 'ANNIL-ADHA WA'AF 'ANNI' (amepokea Tirmidh na Abuu Daud).

ADHKARI MBALIMBALI NA DUA Hapa tutajifunza dua mbalimbali ambazo ni adhkari. Tutajifunza pia na faida zake kama Mtume ' ' ' ' alivyozungumza na masahaba zake.

1.amesema Mtume"' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' '"' 'bora ya dhikir ni kusema L' il'ha illall'h na bora ya dua ni kusema Al-'amdulill'h' (amepokea Tirmidh).

2.Mtume ' ' ' ' amesema "' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' '" 'Mja yeyote atakayesema 'Bismill'h, alladhi l' ya'urru ma`a ismihi shai'un fil-ar'i wa l' fis-sam'', wa huwas-Sam'`ul `Al'm' mara tatu kila asubuhi na jioni hatadhuriwa na kitu chochote' (Amepokea Tirmidh).

3.mtume amesema "' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' '"' 'Mwenye kusema jioni 'Ra'tu bill'hi rabban wabil-Isl'mi d'nan wa bi-Mu'ammadin nabiyyan' itakuwa ni haki kwa Allah kumridhia' (Amepokea tirmidh).

4.Mtume alimwambia al-baraa IBN 'Aazib kuwa ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' '"' ' 'je nikufundishe maneno utakayoyasema pindi atakapoliendea tandiko lako (kulala) na kama utakufa utakufa katika fitrah (uislamu) na ukiamka asubhi utakuwa umepambaukiwa katika kheri? Utasema ''All'humma inn' aslamtu nafs' ilaika wa wajjahtu wajh' ilaika, wa fawwa'tu amr' ilaika, raghbatan wa rahbatan ilaika wa alja'tu 'ahr' ilaika, l' malja'a [wa l' manj'] minka ill' ilaik. 'mantu bikit'bikal-ladh' anzalta wa binabiyyikal-ladh' arsalt' (Amepokea Tirmidh).



         › WhatsApp ‹ Whatsapp

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 162

Post zifazofanana:-

KITABU HA MATUNDA
Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho Soma Zaidi...

namna ya kuswali
11. Soma Zaidi...

Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Hud(a.s)
(i) Tuanze kulingania kwa kuonesha upweke wa Allah(s. Soma Zaidi...

NYAKATI AMBAZO DUA HUJIBIWA
NYAKATI AMBAZO DUA HUJUBIWA. Soma Zaidi...

DUA BAADA YA TAHIYATU, NA KUTOA SALAMU KWENYE SWALA
13. Soma Zaidi...

ASBAB-NUZUL SABABU ZA KUSHUKA AYA NA SURA KWENYE QURAN
ASBAB NUZUL SABABU ZA KUSHUKA AYA NA SURA KWENYE QURAN Quran imeteremka kwa muda wa miaka 23 kidogokido. Soma Zaidi...

Je! inajuzu wanawake kuzuru makaburi?
As salaam alaykum warahmatullah wabarakatuh, nauliza inajuzu wanawake kuzuru makaburi? Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Fyulisi
Soma Zaidi...

ITAMBUE SARATANI CHANZO CHAKE, DALILI NA KUKABILIANA NAYO
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

LEARN VOCABULARY
learn English Vocabulary Soma Zaidi...

STANDARD FOUR ENGLISH TEST 001
Soma Zaidi...

Fahamu vitamini D, kazi zake vyakula vya vitamini D na athari za upungufu wake
Soma Zaidi...