Fahamu kuhusu maji, kazizake mwilini na athari za upungufu wake mwilini

Fahamu kuhusu maji, kazizake mwilini na athari za upungufu wake mwilini

Hpa utafahamu faida za maji mwilini pamoja na athari za upungufu wa maji mwilini na dalili zake

Fahamu kuhusu maji, kazizake mwilini na athari za upungufu wake mwilini

MAJI NA FAIDA ZAKE MWILINI
Maji ni kimiminika kilichotokana na muunganiko wa haidrojen na oksijen. Karibia asilimia 90 ya seli ni maji. Na karibia asilimia 50 - 80 ya mwili wa kiumbe ni maji. Pia anakadiriwa kuwa asilimia 60 ya uzito wa kiumbe ni maji. Kiasi cha maji unayotumia inategemea na mambo mengi kama, hali ya hewa, shughuli unazozifanya, ama hali ya afya.


Faida za maji mwilini
1.Kulainisha viungo
2.Husaidia katika utengenezwaji wa mate na makamasi
3.Husaidia katika usafirishwaji wa oksijeni mwilini
4.Huboresha afya ya ngozi
5.Huboresha afya ya ubongo, ugwe mgongo na milango ya fahamu
6.Husaidia katika kupunguza joto
7.Mfumo wa mmengenyo wa chakula unategemea maji
8.Husaidia katika kuondosha ushafu ndani ya mwili
9.Hutdhibiti shinikizo la damu
10.Huzuia uharibifu wa figo
11.Husaidia katika kupunguza uzito



Upungufu wa maji
Upungufu wa maji unaweza kusababisha mambo yafuatayo:
1.maumivu ya kishwa mara kwa mara
2.Ngozi kukauka
3.Miwasho
4.Homa
5.Mkojo kuwa na harufu kali
6.Maambukizi ya mara kwa mara
7.Uchovu
8.Kiu



Vyakula vyenye maji kwa wingi
1.Tikiti
2.Tango
3.Nanasi
4.Machungwa
5.Madanzi
6.Mapensheni
7.Miwa
8.Mapapai
9.Mastafeli
10.Matunda damu
11.Komamanga



                   

Bongoclass
Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya hapa chini kuipakua sasa!

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 1272

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game    👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉3 kitabu cha Simulizi    👉4 Simulizi za Hadithi Audio    👉5 Madrasa kiganjani    👉6 Kitabu cha Afya   

Post zinazofanana:

Faida za kula Ndizi
Faida za kula Ndizi

Kuna faida kubwa za kiafya kwa kula ndizi, soma makala hii mpaka mwisho

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula kisamvu
Faida za kiafya za kula kisamvu

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kisamvu

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za peaz/ peas
Faida za kiafya za peaz/ peas

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi

Soma Zaidi...
Vyakula salama na vyakula hatari kwa vidonda vya tumbo
Vyakula salama na vyakula hatari kwa vidonda vya tumbo

Kamala hii inakwenda kufundisha vyakuna na vinjwaji salama anavyopaswa kutumia mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Pia utajifunza vyakula na vinywaji hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo.

Soma Zaidi...
Faida za kula Tangawizi
Faida za kula Tangawizi

tangawizi ni katika viungio vya mboga vyenye faida, pia ni kinywaji, zijuwe leo faida za tangawizi

Soma Zaidi...
Faida za embe
Faida za embe

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula embe

Soma Zaidi...