Fahamu siku za kubeba mimba na zisizo za kubeba mimba.

Posti hii inahusu zaidi siku za kubeba mimba na zisizo za kubeba mimba , tunapaswa kujua hivi Ili kuweza kupanga uzazi na kuepuka njia ambazo ni hatarishi kwa afya zetu.

Njia za kubeba mimba na zisizo za kubeba mimba.

1. Kwanza kabisa kunapaswa kuwepo na makubaliano kati ya mwanamke na mwanaume Ili kutumia njia hii , kwa kufanya hivyo njia hii itaweza kuleta faida kubwa kwa mwanamke na mwanaume.

 

2. Siku ya kwanza mpaka ya kumi ni siku salama kabisa , Ina maana siku ya kwanza kuingia hedhi ndipo unaanza kuhesabu mpaka siku kumi.

 

3. Kuanzia siku ya kumi na moja mpaka siku ya nane usithubutu kujamiiana ni siku mbaya kabisa au kama unataka kubeba mimba ndizo siku nzuri.hasa siku ya kumi na mbili mpaka kumi na sita ni hatarishi.

 

4. Kuanzia siku ya kumi na tisa mpaka siku ya ishilini na nane ni siku nzuri na hakuna kubeba mimba yoyote hapo.

 

5.ila kuja kutumia njia hizi ni kujua una mzunguko wa siku ngapi? Ni ishilini na Moja, ishilini na nane, thelathini au thelathini na mbili inategemea na mzunguko wako

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/07/Thursday - 05:30:02 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1758

Post zifazofanana:-