Faida za kiafya za kula Mahindi

Faida za kiafya za kula Mahindi



faida za kiafya za kula mahindi

  1. mahindi yana virutubisho kama protini, wanga, madini ya chuma, vitamini B1, B5, B12, na vitamini C
  2. Husaidia katika utengenezwaji wa seli hai nyekundu za damu
  3. Husaidia katika kupunguza uwezekano wa kupata maradhi ya anaemia
  4. Ni chakula kinachoipa miili yetu nguvu
  5. Husaidia katia kuongeza uzito
  6. Husaidia katika kushusha kiwango cha sukari kwenye damu
  7. Husaidia kwa afya ya mama mjamzito na mtoto aliyepo tumboni, pia husaidia katika kujifungua salama
  8. Husaidia katika kuboresha afya ya ngozi


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 4639

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉2 Simulizi za Hadithi Audio    👉3 Kitabu cha Afya    👉4 Kitau cha Fiqh    👉5 Bongolite - Game zone - Play free game    👉6 kitabu cha Simulizi   

Post zinazofanana:

Matunda yenye Vitamin C kwa wingi

Vitamin C ni katika vitamin vinavyosaidia sana mfumo wa Kinga kulinda mwili dhidi ya vimelea vya maradhi. Hapa nitakuletea orodha ya matunda ambayo yana vitamini C kwa wingi.

Soma Zaidi...
Faida za kunywa maziwa

Somo hili linakwenda kukuletea faida za kunywa maziwa kiafya

Soma Zaidi...
VYANZO VYA VYAKULA VYA MADINI NA FAIDA ZAKE

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
Vyakula vya vitamin B

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya vitamin B

Soma Zaidi...
HOMA YA DENGUE, DALILI ZAKE, TIBA YAKE, CHANGO YAKE NA INA SABABISHWA (AMBUKIZWA) NA MBU GANI

Homa ya dengue hupatikana sana Afrika, Asia na baadhi ya maeneo ya Caribbean.

Soma Zaidi...
Vyakula vinavyosaidia katika kusafisha ini

Post hii inahusu zaidi baadhi ya vyakula ambavyo vinaweza kutumika ili kuweza kuweka ini kwenye hali yake ya kawaida.

Soma Zaidi...
Vyakula vyenye vitamini C kwa wingi

Vitamini C kwa wingi hupatikana kwenye machungwa, maembe, mananasi, limao na ndimu

Soma Zaidi...
Fahamu vitamini K na kazi zake, vyakula vya vitamini k na athari za upungufu wake

kuhusu vitamini K, wapi tutavipata, ni zipi athari zake na ni zipi kazi zake mwilini.

Soma Zaidi...