FAIDA ZA KIAFYA ZA NYANYA


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyanya


Faida za nyanya

1. Nyanya Ni chanzo kizuri cha virutubisho Kama fati, sukari na protini pia nyanya zinatupatia maji 

2. Pua ni chanzo cha vitamini C, K na B9 pia Lina madini ya potassium

3. Ni nzuri kwa afya ya moyo

4. Huzuia ugonjwa wa saratani

5. Ni nzuri kwa afya ya macho

6. Ni nzuri kwa afya ya ngozi

7. Huzuia tatizo la kukosa choo

8. Ni nzuri kwa wenye kisukari



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    3 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    5 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Faida za kiafya za kula maboga
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maboga Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za peaz/ peas
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi/peas Soma Zaidi...

image Tango (cucumber)
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula tango Soma Zaidi...

image Faida za mbegu za maparachichi.
Posti hii inahusu zaidi faida za mbegu za maparachichi, kwa kawaida tunajua wazi faida za maparachichi pamoja na faida za maparachichi kuna faida kubwa katika mbegu zake kama tutakavyoona Soma Zaidi...

image Faida za kula viazi mbatata
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata Soma Zaidi...

image Parachichi (avocado)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za parachichi Soma Zaidi...

image Faida za kula stafeli/soursop
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za stafel/soursop Soma Zaidi...

image Faida za kula nanasi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nanasi Soma Zaidi...

image Faida za kula asali
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula asali Soma Zaidi...

image Faida za juice ya tende.
Posti hii inahusu zaidi faida ya juice ya tende,ni juice inayotumiwa na watu wengi sana na wengine wanajua kabisa faida zake na kuna wengine hawajui wanaitumia kama mazoea tu, ila kuna ambao hawajui kabisa basi zifuatazo ni faida za juice ya tende kwa wale ambao hawajui. Soma Zaidi...