image

Faida za kula bamia

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia

. Faida za kiafya za kula bamia

1. Bamia lina virutubisho kama vitamini C, vitamini K, vitamini A na vitamini B. pia bamia lina protini, fati na madini ya magnesium.

2. Bamia lina antioxidant ambazo hulinda mwili dhidi ya maradhi

3. Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo

4. Hulinda mwili dhidi ya maradhi ya saratani

5. Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu

6. Husaidia kwa wanawake wenye ujauzito na ukuaji wa mtoto

?

           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1011


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Fahamu kuhusu maji, kazizake mwilini na athari za upungufu wake mwilini
Hpa utafahamu faida za maji mwilini pamoja na athari za upungufu wa maji mwilini na dalili zake Soma Zaidi...

Fahamu vitamini C na kazi zake, vyakula vya vitamini C na athari za upungufu wake.
kuhusu vitamini C, kuanzia chanzo chake, maana yake, upungufu wake na kazi zake kwenye miili yetu. Soma Zaidi...

Vyakula vya protini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya protini Soma Zaidi...

FAIDA ZA MATUNDA NA MBOGA MBALIMBALI KWA AFYA
FAIDA ZA MATUNDA Makala hii inakwenda kukuletea faida za matunda mbalimbali na mboga upatikanaji wake na faida zake kiafya. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula topetope/ accustard apple
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope/ accustard apple Soma Zaidi...

Vyakula vyenye vitamini C kwa wingi
Vitamini C kwa wingi hupatikana kwenye machungwa, maembe, mananasi, limao na ndimu Soma Zaidi...

Faida za tangawizi
Somo Hili linakwenda kukuletea faida za tangawizi Soma Zaidi...

Fahamu Vitamini E na nz kazi zake, vyakula vya vitamini E na athari za upungufu wake
Katika makala hii nitakwenda kukupa somo linalohusu vitamini E, kazi zake, chanzo chake na madhara ya upungufu wake Soma Zaidi...

Zijuwe faida za kula njegere
zijuwe faida za kula njegere kiafya na umuhimu wa kula jegere pia jifunze njegere zina kazi gani mwilini? Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Nyanya
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Tangawizi
Soma Zaidi...

VYAKULA VYENYE PROTINI KWA WINGI
hivi ndio vyakula vya protini kwa wingi, maziwa, mayai, samaki, dagaa, nyama, maini. Endelea na zaidi Soma Zaidi...