FAIDA ZA KULA KABICHI


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kabichi


Faida za kiafya za kula kabichi

1. kabichi lina virutubisho kama protini, vitamini K, A, B6 na C. pia lina madini ya chuma, calcium na magnesium.

2. Husaidia katika kupunguza mashambulizi ya mara kwa mara ya bakteria, virusi na fanasi

3. Husaidia katika kupona kwa haraka kwa majeraha

4. Husaidia kupunguza uharibifu wa seli dhidi ya kemikali mbaya

5. Huboresha afya ya mifupa, misuli na mishipa ya damu

6. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani

7. Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kuzuia kukosa haja

8. Hufanya moyo wako uwe katika afya njema

9. Hushusha presha ya damu

10. Hushusha kiwango cha cholesterol



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    2 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Faida za apple kwa Mama mjamzito
Posti hii inahusu zaidi faida za apple kwa mama mjamzito, ni faida anazozipata mama akiwa mjamzito kwa sababu ya kuwepo kwa vitamini mbalimbali kwenye apple ambavyo usaidia katika makuzi ya mtoto.I Soma Zaidi...

image Faida za kula tikiti
Somo hili linalenga kukujuza juu ya umuhimu wa tikiti kwenye afya ya mwili Soma Zaidi...

image Faida za embe
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula embe Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula kunazi/ lote tree
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kunazi/ lotetree Soma Zaidi...

image Faida za kula tango
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango Soma Zaidi...

image Faida za mbegu za maboga
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mbegu za maboga Soma Zaidi...

image Faida za kula uyoga
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kula uyoga Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula fyulisi/ peach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/peach Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula tangawizi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi Soma Zaidi...

image Faida za kula fyulisi/peach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/ peach Soma Zaidi...