FAIDA ZA KULA NANASI


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nanasi


2. Faida za kula nanasi

1. Nanasi lin virutubisho kama fati, protini, vitamini C, vitamini B6, madini ya chuma, manganeseum na shaba.

2. Hupunguza misongo ya mawazo (stress)

3. Nanasi ni rahisi kumeng’enywa tumboni

4. Hupunguza hatari ya ugonjwa wa saratani

5. Huboresha na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini

6. Hupunguza maumivu ya viungio

7. Husaidia kupona haraka baada ya kufanyiwa upasuaji

8. Ni tunda tamu

?



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    4 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Faida za kiafya za kula passion
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion Soma Zaidi...

image Naomba mnielekeze jinsi ya matayarisho ya Mbegu za papai mpaka nianze kuzitumia kama tiba
Mbegu za papai ni katika baadhi ya mbegu ambazo hutumika kama dawa, na tunda lake ni katika matunda yenyevirutubisho vingi sana. Mbegu za papai zinatumka kwa matumizi mengi sana kiafya. Je ungependa kujuwa faida za papai na jinsi ya kuandaa mbegu zake kama tiba? endelea na makala hii Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula zaituni
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni Soma Zaidi...

image Faida kula fenesi
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula fenesi Soma Zaidi...

image Faida za kula asali
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula asali Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula tangawizi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi Soma Zaidi...

image Faida za embe
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula embe Soma Zaidi...

image Faida za kula ndizi
Somo hiki linakwenda kukueleza faida za kiafya za kula ndizi Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kunywa maziwa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa maziwa Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula bamia
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia Soma Zaidi...