image

Faida za kula parachichi

Somo Hili linakwenda kukuletea faida za kula parachichi

3. Faida za kula palachichi

1. palachichi lina virutubisho kama wanga, vitamini C, E, K na B^. pia lina madini ya managesium na potassium.

2. Husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya moyo

3. Huzuia kupata ugonjwa wa mifupa (kuwa dhaifu na kufunjika kwa urahisi)

4. Huzuia ama kupunguza kupata ugonjwa wa saratani

5. Huboresha afya ya watoto wadogo na ukuaji wao

6. Hupunguza misongo ya mawazo

7. Huondoa tatizo la kutopata choo kikubwa

8. Husaidia kuondoa sumu za vyakula na akemikali mwilini

9. Husaidia kuzuia maambukizi ya mara kwa mara ya virusi, bakteria na fangasi

10. Husaidia kuzukupata maradhi ya kisukari

           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1291


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Faida za kiafya za kula magimbi/ taro roots
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula magimbi Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Bamia
Soma Zaidi...

Vijuwe vyakula vinavyoongeza damu kwa haraka
Post hii itakufundisha aina za vyakula ambavyo vinaweza kuongeza damu kwa haraka. Soma Zaidi...

Faida za kula Faida za kula buluu beri
4. Soma Zaidi...

Matunda yenye vitamin C kwa wingi
Somo hili linakwenda kukuletea matunda yenye vitamin C kwa wingi Soma Zaidi...

Faida za kula papai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai Soma Zaidi...

Faida za kula Ukwaju
Zitambue faida kubwa za kula karanga kwa ajili ya afya yako Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Mahindi
Soma Zaidi...

ijuwe namna ya kufanya ihram na Vazi la ihram
Soma Zaidi...

Kitabu cha Afya 02
Kama tulivyosema hapo juu kuwa afya ni kuwa mzima kimwili na kiakili. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula samaki
Soma Zaidi...

Kitunguu saumu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kitunguu saumu Soma Zaidi...