Faida za kula Tango

Faida za kula Tango

Matunda ya zamani na ya asili, zijuwe faida za kiafya za tango

Faida za kula Tango

17.Tango (coccumber).
Tango ni katika mimea jamii ya matikiti na maboga. Tango ni katika matunda ambayo unatakiwa uyale sana kwenye maisha yako. Tafiti zinaonesha kuwa asilimia 95 ya tango ni maji. Tango lina vitamin K, B vitamins, copper, potassium, vitamin C, na madini ya manganese.

Tango lina anti-inflammatory flavonol ambayo huitwa fisetin. Hii husaidia katika kuimarisha afya ya ubongo. Hii husaidia katika kutunza kumbukumbu na kuimarisha afya ya mfumo wa fahamu pamoja na neva.

Tafiti zinaonesha kuwa tango lina polyphenols ambazo huitwa lignans (pinoresinol, lariciresinol, and secoisolariciresinol), husaidia katika kuzuia kupata aina mbalimbali za saratani (cancer) kama saratani ya kizazi kwa wanaume na wanawake.

Tango pia lina antioxidant flavonoids, kamavile quercetin, apigenin, luteolin, na kaempferol, ambazo husaidia katika kupambana na maradhi kama saratani na maradhi mengineyo.

Tango hupunguza joto tumboni, pia huondoa bajteria wanaoleta harufu mbaya mdomoni. Tafiti zinathibitisha kuwa tango husaidia katika kuondoa misongo ya mawazo na hii ni kutokana na uwepo wa vitamin B1, vitamin B5, and vitamin B7 (biotin) kwenye tango.

Tango huimarisha afya ya moyo na kupumguza shinikuizo la damu. Tanago husaidia mfumo wa kumeng’enya chakula ufanye kazi kwa ufanisi. Tango husaidia katika kuthibiti uzito wa mwili.


                   

Bongoclass
Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya hapa chini kuipakua sasa!

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 1617

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
πŸ‘‰1 Bongolite - Game zone - Play free game    πŸ‘‰2 Kitau cha Fiqh    πŸ‘‰3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    πŸ‘‰4 kitabu cha Simulizi    πŸ‘‰5 Simulizi za Hadithi Audio    πŸ‘‰6 Madrasa kiganjani   

Post zinazofanana:

Vyakula vizuri kwa vidonda vya tumbo
Vyakula vizuri kwa vidonda vya tumbo

Hii ni orodha ya vyakula salama na vizuri kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

Soma Zaidi...
Blueberry
Blueberry

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula blueberry

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula karanga
Faida za kiafya za kula karanga

Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula karanga

Soma Zaidi...
magonjwa na lishe
magonjwa na lishe

DARASA LA AFYA MAGOJWA YANAYOHUSIANA NA VYAKULA 1.

Soma Zaidi...
Faida za kula Pilipili
Faida za kula Pilipili

Usiogope kuwashwa, kula pilipili ni nzuri kwa afya yako ia virutubisho vingi sana

Soma Zaidi...
Faida za kula Embe
Faida za kula Embe

Embe ni katika matunda atamu na yenye faida kubwa kiafya, soma makala hii hadi mwisho

Soma Zaidi...
Faida za limao au ndimu
Faida za limao au ndimu

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ndimu au limao

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula kisamvu
Faida za kiafya za kula kisamvu

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kisamvu

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula maboga
Faida za kiafya za kula maboga

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maboga

Soma Zaidi...