image

Faida za kula tango

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango

. Faida za kiafya za kula Tango

1. tango lina virutubisho kama fati, protini, pia lina vitamini K na C pia kuna madini ya manganese na manganessium

2. Huondosha kemikali na sumu ndani ya vyakula

3. Hsaidia kuipa maji miili yetu

4. Husaidia kupunguza uzito mwilini

5. Husaidia kushusha sukari mwilini

6. Husaidia katika kupata choo vizuri

?

           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1835


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

VYANZO VYA VYAKULA VYA FATI, PROTINO NA WANGA NA FAIDA ZAKE
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Faida za kula viazi mbatata
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula magimbi
Soma Zaidi...

Vyakula hatari kwa mwenye kisukari
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula hatari kwa mwenye kisukari Soma Zaidi...

Faida za kula Ukwaju
Zitambue faida kubwa za kula karanga kwa ajili ya afya yako Soma Zaidi...

Vyakula na ugonjwa wa kisukari
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vimpasavyo mgonjwa wa kisukari Soma Zaidi...

Je miwa ina madhara yoyote?
Umetaja faida za matunda , mimi ninataka kujuwa Je miwa ina madhara yoyote? Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula maini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maini Soma Zaidi...

Mboga ambazo zimekuwa kuweka kiwango cha sukari juwa sawa
Posti hii inahusu zaidi mboga mboga za majani ambazo zinaweza kuweka sukari kwenye kiwango cha kawaida. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Pensheni
Soma Zaidi...

Faida za kula Tufaha (epo)
Tufaha ni katika matunda adimu na matamu, je unazijuwa faida zake kkiafya? Soma Zaidi...

Faida za kula tikiti
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tikiti Soma Zaidi...