FAIDA ZA MBEGU ZA PAPAI


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mbegu za papai na umuhimu wake kiafya


Faida za mbegu za papai

Mbegu za papai mara nyingi huliwa baada ya kukaushwa na kusagwa kuwa unga, pia unaweza kuzikaanga kidogo au kuzichemsha

1. Husaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kufanya kazi vyema

2. Hudhibiti ugonjwa wa saratani

3. hulinda Figo kufanya kazi vyema

4. Husaidia mwili katika kupambana na vijidudu vya maradhi

5. Husaidia kwa wenye kisukari

6. Husaidia kuondoa sumu za vyakula na kemikali mwilini

7. Mbegu za papai zina virutubisho mbalimbali



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    3 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    4 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    5 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa Soma Zaidi...

image Tangawizi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za stafeli/soursop
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za stafeli ama soursop Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za peaz/ peas
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi Soma Zaidi...

image Nazi (coconut oil)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula passion
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion Soma Zaidi...

image Ndizi (banana)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ndizi Soma Zaidi...

image Faida za mbegu za maboga
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mbegu za maboga Soma Zaidi...

image Faida za chungwa na chenza ( tangarine)
Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za chungwa na chenza mwilini Soma Zaidi...

image Faida za kula apple (tufaha)
Posti hii itakwende kukueleza kuhusu faida za kula apple na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...